Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Kumekuwa na tabia ya watu kupindisha maneno ya Samia na Viongozi wengine!
Weka nukuu ya alichosema au link?
Alikuwa live TBC1 mkuu akihutubia baada ya kuzindua jengo la BoT tawi la Mwanza. Kaongea mengi likiwamo hili na kutaka riba za mabenki zipungue kutoka (12%- 18%) hadi 10% kushuka chini.

Download mwenyewe hotuba yote ya rais akiwa Mwanza.
 
Yaani mi niwe na cash halisi/ benki halafu kuna jamaa naye anashinda mitandaoni kwa magumashi mara uit wake then heti inatambulika rasmi!!
Tunahitaji elimu zaidi hili tuwe na common understanding kwanza.
'anashinda mtandaoni kwa magumashi" Nisaidie ufafanuzi hapo nilipo qoute au una maana wale jamaa wa wall street wanafanya magumashi
 
Alikuwa live TBC1 mkuu akihutubiqbaada ya kuzindua jengo la BoT tawi la Mwanza. Kaongea mengi likiwamo hili na kutaka riba za mabenki zipungue kutoka (12%- 18%) hadi 10% kushuka chini.

Download mwenyewe hotuba yote ya rais akiwa Mwanza.
Tangu mwaka 2009 ilipoanzishwa Cryptocurrency ya kwanza mpaka sasa ni nchi moja tu ndio imekubali Bitcoin as legal tender. Labda Tanzania ndio itakuwa ya pili!!
Kwa nini nchi zote kama marekani zimesita?
 
Rais SSH hataki sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia sarafu za kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT tawi la Mwanza).

Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia sarafu za kimtandao:- mfano Crypto currency
Mwanasiasa ambaye hataki makuu anakuwa amevamia fani isiyo yake!
Rais wa hisani ya katiba huyu hivyo mwie radhi tu..
 
Tangu mwaka 2009 ilipoanzishwa Cryptocurrency ya kwanza mpaka leo ni nchi moja tu ndio one regulate. Labda Tanzania ndio itakuwa ya pili!!
Kwa nini nchi zote kama marekani zimesita?
Acha mama aingie kichwa kichwa...
 
'anashinda mtandaoni kwa magumashi" Nisaidie ufafanuzi hapo nilipo qoute au una maana wale jamaa wa wall street wanafanya magumashi
Navyojua Mimi hawa huwa wajanja wajanja tu sasa hata kama umesoma finance hukutani kabisa na hayo mambo sasa ndo hatari ilipo
 
Back
Top Bottom