Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Navyojua Mimi hawa huwa wajanja wajanja tu sasa hata kama umesoma finance hukutani kabisa na hayo mambo sasa ndo hatari ilipo
sawa boss ngoja niendelee kujifunza michango ya wengine jinsi watu wanavyoelewa hizo crypto currency
 
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.

Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
Kwanini Tanzania hatupokei pesa kwanjia ya PayPal kama Kenya na nchi zingine?
 
Mtu anakwambia usifanye hivi sababu wengine hawajafanya. Kwani ni kinyesi hicho kuwa kila binadamu lazima anye? Wajuzi wa mambo nchini wakae waangalie tuone tunajiingiza vipi kwenye ulimwengu wa kisasa kwa tahadhari.
Wahenga wanasema asipochafuka atajifunzaje,hivyo nasi tusiogope fursa,tujichanganye tujionee wenyewe Bila kuambiwa,tahadhari ni mtu mwenyewe.
 
Cryptocurrencies imekuwa ina husishwa na,
1)fraud
2) money laundering
3)Bad for environment.
4)….list goes on
Crpto inatumiwa na matapeli kufanya uovu kutokana na mazingira yake kutokurudi nyuma na kutokuwa na central bank ila currency mzuri sana kwenye payment option fee ni ndogo sana iko secured

Mtu akikuambia njoo uwekeze kwakutumia Hii currency kimbia mwisho wa picha lazima utatapeliwa tu

Nampongeza mama kwakujua hili maana ccm wako nyuma sana watakua wana angaika google kutafuta maana utafikiri wako kwenye sayari tofauti na Dunia
 
Sorry not Sorry..Jay Z X Nas..Dj Khaled's project.

Ni unyaje sana humo ndani.
It get to a point that you know
You get money it's like what is you doing it for
So when you find somebody special it's like
They become your motivation behind what you do
You know what I'm saying (ya)
You got a lady or you got kids (Of course)
You know what ever you got
That become your motivation (ya)
You know what I'm saying
(Motivation is key it makes it a whole lot easier
Of course when you have somebody that is doing the same thing
Or even just grinding just as hard it's really it's something it's)
So what's your motivation
 
Bitcoin kama QNET tu, hamna kitu cha maana huko.
 
Crpto inatumiwa na matapeli kufanya uovu kutokana na mazingira yake kutokurudi nyuma na kutokuwa na central bank ila currency mzuri sana kwenye payment option fee ni ndogo sana iko secured

Mtu akikuambia njoo uwekeze kwakutumia Hii currency kimbia mwisho wa picha lazima utatapeliwa tu

Nampongeza mama kwakujua hili maana ccm wako nyuma sana watakua wana angaika google kutafuta maana utafikiri wako kwenye sayari tofauti na Dunia
Asante kwa ufafanuzi,je uwekezaji salama kwa hii criptocurrency ni wa namna gani.
 
Wahenga wanasema asipochafuka atajifunzaje,hivyo nasi tusiogope fursa,tujichanganye tujionee wenyewe Bila kuambiwa,tahadhari ni mtu mwenyewe.
Mwaka 2012 nilipigwa 200,000 nikajifunza vizuri nakuijua vizuri Bitcoin leo ni mwali mzuri sana wa Bitcoin
 
Ni nini chakufanya na nini sii chakufanya,pale unapoamua kuwekeza.
Kwenye kuwekeza siwezi mshauri mtu ujalibu mwisho wapicha utatapeliwa tu BTC ni mzuri kwa malipo unanunua online kwakutumia simu kisha unatuma unafanya malipo nje ya nchi unaweza badala ya kwenda bank na kufanya TT utapoteza muda mwingi pia pesa inachelewa sana kufika ila btc ni sawa na PayPal au email ukimtumia dakika kaisha pata fee ni kidogo sana.

Kwale wanaosafiri kwenda nje ya nchi pia btc inasaidia sana hata kama una dolla laki 8 unaweka kwenye btc wallet au unaweza print out ukifika unakokwenda nchi nyingi wana mashine za ATM zina sehemu ya btc una scan kwenye barcode unatoa mpungu

We zangu na mimi ccm wanasafiri na mabunda ya pesa wakifika airport wananyanganywa na kufunguliwa kesi za utakatishaji pesa badilika wana wa mapindu dunia iko mbali sana sisi tuko nyuma sana kwasabu yenu mnatupeleka mwendo wa kinyonga
 
Back
Top Bottom