Cryptocurrency ni pesa ya elon musk mvuta bangi wa tesla company na yeye kikataa mwezi jana tu. Mama amesoma kwa taarifa za mitandaoni kaanza kudemka na yeye.Urais ni taasisi hilo wataalamu wa uchumi watamkatalia , hata US , baba wa ubepari ameikataa na China ameikataa. Kwa jinsi mataifa kama China wanavyochukia na kuumizwa na majivuno ya marekani, kisa dollar yake kuwa ndio inayofanya 70 per cent ya transaction ya biashara duniani, kama bitcoin na cryptocurrency zingekuwa za maana mchina na mrusi na EU wangekuwa wa kwanza kuipitisha.