Ametisha sana mama ktk hili.Hapo sawa na tuanze kupata refund kwa kutumia PayPal
Sorry not Sorry..Jay Z X Nas..Dj Khaled's project.Am coin based basically cryptocurrency,scarface...join us its gotta be more of us
Soma tena uzi wangu mkuuNi wapi amesema hayo?
Alikuwa hajaevolve bado to Homosapiens, kuna viumbe katika same species huwa wanachelewa kuevolve, Alikuwa bado HomohabilisAmetisha sana mama ktk hili.
Siyo kama mwendazake alikaa kizamadamu sana yule.
Uwoga na michakato michakato hii imetuchelewesha sana ndugu zangu (in mwendazake's voice)Mama asikimbilie hayo mambo, bado machanga sana na bado yako volatile sana. Nchi nyingi zilizoendelea bado hazijaruhusu hizo currency so hakuna haja ya kukimbilia.
Kumekuwa na tabia ya watu kupindisha maneno ya Samia na Viongozi wengine!Soma tena uzi wangu mkuu