CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
CCM imekutana Dodoma kwaajili ya mambo matatu ambayo ni Marekebisho ya katiba, Kupokea Ripoti ya Utekelezaji wa ILANI na mwisho kupitisha ILANI mpya ya Uchaguzi ya 2025-2030.