Rais Samia: CCM inawachama milioni 13 yoyote anayefikiria kukipasua chama hiki ajifikirie mara mbili mbili

===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Chadema kina wanachama wengi sana,hadi wengine mashuleni na vyuoni.
 
Wanachama wote hawo na bado mnaogopa uchaguzi huru na haki
Nani anayeogopa labda? Kelele tu za kukosa hoja hizo.Mkiulizwa kuwa kura zinaibiwa mkiambiwa wakati zinaibiwa wakala wenu ndani ya chumba cha kura alikuwa kafa au? Na mkiambiwa onyesheni kituo mlichoibiwa mtoa macho tu

Porojo za majukwaani na mitandaoni tu hizo
 
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Wapiga kura kwa Sasa nchini ni million 33 so ukitoa 13 unapata million 20 ambao ni wapinzani waccm

Itisha uchaguzihuru na haki ukipata hata kura million 7 navua nguo natembea mpaka dodoma
 
Sasa kama ni wengi kiasi hicho kwanini wanakataa Tume huru ya uchaguzi?.
 
Mwenyekiti Anatoka nje ya agenda. Watanzania tunauliza ni nani anaewateka wenzetu na kuwapoteza? Tunahitaji majibu ya serikali
 
Wapiga kura kwa Sasa nchini ni million 33 so ukitoa 13 unapata million 20 ambao ni wapinzani waccm

Itisha uchaguzihuru na haki ukipata hata kura million 7 navua nguo natembea mpaka dodoma
Milioni 7 mbona nyingi kwa maza.Akisimama na Lisu uchaguzi ukiwa huru akipata kura hata mikioni 3 ajue watu wamepigia chama kwa ushabiki na sio yeye.
 
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
 
Attachments

  • VID-20250529-WA0013.mp4
    9.1 MB
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Screenshot_20250529_123716.jpg
 
Ndio kwani hujui ? Mjumbe wa nyumba kumi Sio kiongozi wa serikali ni wa Chama cha Mapinduzi
Basi kuna utapeli niliwahi kufanyiwa na serikali ya mtaa kunitaka kupewa barua ya mjumbe wa nyumba kumi ili kusainiwa na kupigiwa muhuri wa serikali ya mtaa document yangu.
 
Nani anayeogopa labda? Kelele tu za kukosa hoja hizo.Mkiulizwa kuwa kura zinaibiwa mkiambiwa wakati zinaibiwa wakala wenu ndani ya chumba cha kura alikuwa kafa au? Na mkiambiwa onyesheni kituo mlichoibiwa mtoa macho tu

Porojo za majukwaani na mitandaoni tu hizo
Unaandika huku nafsi yako inakusuta,uhuni mnaofanya kwenye uchaguzi unajulikana na kila mtu.
 
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Sasa kwa nini hawataki uchaguzi huru
 
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Kama kweli wekeni Tume Huru basi.

Kuna watu wanazo kadi na wanazilipia kimkakati tu, maana wanajua bila hiyo kadi kuna fursa hupati, mfano vibali, baadhi ya biashara, tenda, ajira, nk.

Kwa hiyo siyo kila mwenye kadi hai ni mwanachama halisi.
 
Back
Top Bottom