Rais Samia: CCM inawachama milioni 13 yoyote anayefikiria kukipasua chama hiki ajifikirie mara mbili mbili

===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Kwanini hataki na hawataki mabadiliko ya kweli kwenye katiba mpaka kwenye tume huru ya uchaguzi aone cha moto.
 
Wenye chama ni hao milioni 13

Wakati CHADEMA haiwajui wapiga kura wake CCM inawajua hadi kwa majina na wanapoishi

Wakati CHADEMA inaimba no reform no Election CCM ilikuwa busy kutafuta wanachama watakaokipigia kura uchaguzi mkuu kwa kuwasajili kidijitali mahali walipo na kadi zao za kupigia kura na kuwapa kadi mpya za CCM

CCM imepania kushika dola iliona hakuna sababu kumpa mtu kadi ya CCM wakati sio mpiga kura

Upinzani hawajui wapiga kuea wao .CCM inawajua.Ndio maana kadi za CCM hazigawiwi kiholela kama kupata lazima uwe na kitambulisho cha kupiga kura .Sababu CCM iko interested na wapiga kura wanaoweza kukiweka madarakani

Ndio maana makilioni walijitokeza kwenye zoezi la kujiandisha daftari la wapiga kura wakitoka hapo mbio ofisi za CCM kuomba wapewe kadi za CCM
Hayo yote hayana shida. CCM ina wanachama wengi na ina uhakika wa kushinda, kwa nini mnaogopa reforms? Kwa nini mnaogopa uchaguzi huru na haki? Kama kweli mnakubalika na mna wapiga kura wengi, mtashinda tu
 
Kila kijiji na kila mtaa Tanzania nzima kuna ofisi ya CCM. Nenda kaulize ofisini kwao au kwa mjumbe yeyote wa nyumba kumi atakuambia
Sasa million 13 uoga unatoka wapi wa kuweka tume huru isiyochaguliwa na Rais au 13 ni wa kupika?
 
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
kingekuwa na wanachama wote hao tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa isingejaza makada wake tupu na kwanini inaogopa uchaguzi huru na inamamilioni ya wanachama mbona wanajidanganya wenyewe sasa
 
sasa kwanini mnaogopa uchaguzi huru na wa haki wakati mna kura 13M za uhakika?
 
Kila kijiji na kila mtaa Tanzania nzima kuna ofisi ya CCM. Nenda kaulize ofisini kwao au kwa mjumbe yeyote wa nyumba kumi atakuambia
Sasa kwa nini mnaogopa uchaguzi wa uhuru na haki,na kalibu kila uchaguzi lazima mreta fingusi za kuiba kura
 
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Tatizo sio kupasua, hamna mwenye mpango huo. Swali hapa je kwanini kinapgopa mabadiliko?
 
Kama ni wanachama zero brain sawa...ila wale wanaojielewa sidhan kama wanafika hata 20🤣🤣
 
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.

..akawaombe msamaha GenZ wa Kenya.

..Watanzania tumechoka mitandao kufungiwa wakati ugomvi hatukuuanzisha sisi.
 
Sahihi kbs, sasa mbona ccm yenye mamilioni ya wanachama haitaki uchaguzi ulio huru & haki...inaogopa nn wakati uhakika wa kushinda wanao?!.

Ccm hamna akili kuanzia mwenyekigoda hadi chawa!
Sumu haionjwi my friend
 
Unaota wajumbe wa nyumba kumi ni CCM wako mamilioni nchi.nzima

Uje viongozi wa matawi ya CCM nchi nzima mijini na vijijini kila mtaa na kijiji wako mamilioni

Hujaongelea hapo wanachama wa kila tawi mjini na vijijini nchi nzima

Uongo wewe mjinga kitakwimu
Hao ni wasindikizaji, CCM inawenyewe
 
kuwa na kadi sio kwamba watu ni wanachama in the heart, bali hiyo kadi wengi wanayo kama kinga, ili pakitokea fursa iwe kama kilainishi cha kufanikisha mambo yako binafsi kutokana na hali halisi on the ground . Imagine,wengi wana hii notion kwamba ili upate ajira serikalini basi uwe cadre wa ccm sasa unatarajia nini ,ili ukodi chumba katika majengo ya chama basi uwe mwanachama wa CCM, ukikamatwa polisi alafu huna kadi ya chama ,hupati zamana au utapata mbilingi mbilingi, ukifaulu chuo bila kadi ya chama hupewi mkopo ,what are you expecting under this situation?
 
Sawa hatukatai,sasa wekeni tume huru kweli kweli tushuhudie mpambano halisi
 
===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,

Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.

Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Robo ya watanzania siyo? Hongereni
 
Kati ya hao mmewalazimisha wafanyakazi wa umma wote nchini wawe na kadi za CCM na wahakikishe wanazilipia - mnafikiri hatujui. Kwa mfano wafanyakazi wa halmashauri zote nchini ni lazima wawe wana CCM kama.unaipenda ajira yako.
 
Back
Top Bottom