Si kweli, binafsi Nina kadi ya CCM Kwa vile nalinda nafasi ya kazi Kwa kiti nilichokalia.===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.