Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Uongo vipi, mwenzako katumia comon sens kujenga takwimu.Uongo mkubwa huu
Mil. 60 ya population ya waTz ukitoa mil. 13 ya wasisiem inabakia ngapi?
Halafu katiya hao 13 hawalazimishwi kwenye sanduku la kura kupigia Ccm.