CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
CHADEMA kina wanachama angalau 27,000,000.Chama Cha Mapinduzi sasa kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Sahihi kbs, sasa mbona ccm yenye mamilioni ya wanachama haitaki uchaguzi ulio huru & haki...inaogopa nn wakati uhakika wa kushinda wanao?!.CHADEMA kina wanachama angalau 27,000,000.
Mimi ni mmoja wao lakini sikubaliani na yeye kukataa maboresho ya sheria za uchaguzi. Hao wanachama milioni 13 sio wote wana hamasa kutokana na mambo yanayoendelea!. Akina Kikwete walijua siasa muombeni ushauri!. Kikwete alikuwa akiona kuna Agenda upinzani unaizungumzia na unapata uungwaji mkono kutoka kwa raia basi ghafla CCM inabadili gia angani na kufanya Agenda hiyo kuwa yake. Msishupaze shingo fanyeni mabadiliko maana upepo wa mabadiliko unavuma duniani kote.Chama Cha Mapinduzi sasa kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Uongo mkubwa huuCHADEMA kina wanachama angalau 27,000,000.
Na yeye kaukubali kutapeliwa===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Hizo ndo kura alizojiandaa kujitangazia au siyo? Idi Aminini mama ajue kabisa tutaendelea kumpiga spana hadi ahamishie ofisi kijijini kwake Kizimkazi===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Kila kijiji na kila mtaa Tanzania nzima kuna ofisi ya CCM. Nenda kaulize ofisini kwao au kwa mjumbe yeyote wa nyumba kumi atakuambiaWako wapi?
Wingi wa wanachama siyo ishara kuwa wote wanaafikiana na yanayoendelea nchini, ni haohao wanaweza kupindua meza===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Kadi za CCM zilikuwa zinatolewa kwa wenye kadi za kupiga kura tu muongo weweHata Mimi kadi ya CCM ninayo. Ila sina kadi ya mpiga kura. Sijawahi kupiga kura na sitapiga kura mpaka upuuzi huu wa mboga mboga uishe.
Hizi kadi zisiwadanganye.
Zilikuwa zinatolewa mwaka jana 2024 kama pipi
Wanachama wote hawo na bado mnaogopa uchaguzi huru na haki===
Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670,
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.
Mimi nilipewa kwa NIDA. Zuzu wewe kumbe hujui chochoteKadi za CCM zilikuwa zinatolewa kwa wenye kadi za kupiga kura tu muongo wewe
Hao milioni 13 ni wenye kadi za kupiga kura.Haiwezekani ukawa na kadi ya CCM halafu huna kadi ya kupiga kura