Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

We utakuwa mwalimu tuu eti toa kauli kesho🤣. Utakuta ela ya bando huna kamshahara kameisha hata June haijaanza😭😭.
Hii nchi tatizo kuubwa kwako unaona ni pepomis sio?
 
Kama ukiwa registered na mfumo inakatwa hela basi tuseme ccm oyee
 
Upo sahihi sana Tatizo jingine ni Watumishi wa pale UTUMISHI kujiona miungu watu na kutisha tisha watumishi. Kwani hawawezi kufanya kazi bila vitisho??

Huu Mfumo wa PEPMIS ni kama walikurupushwa ila kiukweli haujakamilika, Pia haupo realistic ni rahisi watumishi kudanganya kuhusu majukumu yao na kuya upload na wasijue.
 
Yaan kinachotafutwa ni kuwanyima watumishi haki zao tu. Soon utasikia no promotion kama hujajaza pepmis
 
Lakini nyie si.mnasemaga ccm itawale milele tukipinga mnasema sisi siyo wazalendo.
 
Kura za ccm zinapigwa na tume sio wananchi, acha porojo za kijinga.
 
Yaani hakuna PROJECT ya Serikali hii ya chama chakavu huwa inaenda smoothly..full janja janja..DART chali..Ndege chalii..
 
Anakata mtaa Korea.
 
We utakuwa mwalimu tuu eti toa kauli kesho🤣. Utakuta ela ya bando huna kamshahara kameisha hata June haijaanza😭😭.
Hii nchi tatizo kuubwa kwako unaona ni pepomis sio?
Mimi mtendaji wa mtaa
 
Huu Ni uhuni mwingine Hivi MTU wa Ilagala Kigoma na Kagunga Kigoma Huu mtandao haupo Wala network Hamna, Huyu Ridhione aliona Hilo?? Hawa wanaishi mijini wanawaza kimjini mjini.kwanza Ni uwizi mtupu Huo mfumo..Mama kataza Hilo usiwe mpole Mno na Wewe mama.kuwa mkali Basi.
 
Bora bodaboda unabeba vichwa vyako pesa inaingia, mtu-mishi hana maokoto ana mifumo.
 
Watumishi mishara yap midogo, imeishia kwenye bando
 
Dah yaani umeongea vizuri sana. Watu wanateseka kazini huko kutoa huduma, halafu unaingiza kitu cha kuwatia hofu tu bila maandalizi.
Majuzi walitoa tangazo la ku-scan vyeti vya shule, kuzaliwa, kuanza kazi, ndoa nk. Iwe imekamilika ndani ya siku 2 la sivyo hupati mshahara. Wenye stationery walipiga pesa balaa. Kila cheti huku kijijini kwetu ilikuwa buku halafu vyeti zaidi ya kumi.
 
Siku nyingine utumie hata smartphone kuscan mwenywe hivyo viambatanisho. Dunia ya sasa sio Kila kitu stationery.
 
Unae muongelea hapa ni mama yupi? Huyu asiye zijua shida au yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…