Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

Kiufupi huu mfumo wa ESS ni chenga tu.
 
That is a delay tactic ambayo hutumiwa na watawala kumnyima mtumishi haki zake,ishu ya kupandishwa madaraja ni km haipo wanatafuta visingizio
Mkuu umeona mbali sana and what you're saying makes a lot of sense ingawa ni mapema kuliona hili lakini linaweza kuja kutokea baadae
 
Huo ushauri kampe bwanako nawote mfiche makalio yenu mnayotumia kufikiri, unarukaruka kama nimeyapapasa wakati nilomtania hajajali...
I'm done and finish with you stupid toy.
 
Huo ushauri kampe bwanako nawote mfiche makalio yenu mnayotumia kufikiri, unarukaruka kama nimeyapapasa wakati nilomtania hajajali...
I'm done and finish with you stupid toy.
Ficha huo utupu dogo, hakuna umuhimu wa kutonedha kiwa umebeba fuvu tupu hapo kichwani. Pokea ushauri, nimekuhushauri kwa nia njema tu.

Jitahidi ufiche uchi wa akili yako.
 
Inaonekana hawakujipanga vizuri, Wametengeneza mfumo unaotumia Server resources kubwa kuliko walizo nazo ,
Halafu watumishi hawajapewa posho ya bando, maana wanakaa siku nzima kusaka mtandao, na wengine mpaka siku mbili mfululizo
 
Imewekwa ili kutafuta kisingizio Cha kutokupandisha Watu madaraja na kulipa mshahara. Kwa Nini mtumishi atende kazi na kujikagua mwenyewe hapo hapo?. Adara za ukaguzi Zina kazi Gani?. Ni upotevu WA muda tu uite majina darasani uingie kwenye mfumo uite Tena. Uandike andalio la kazi na somo Kisha u scan utume kwenye mtandao. Usahihishe ufanye masahihisho,ushike zamu na majukumu lukuki. Kama wanatafuta sababu waseme tu.
 
Mfumo mbona ni mrahisi tu na unaeleweka tatizo Ofisi za Umma zimejaa wazee ambao kufungua tu mifumo kwao n mtihani mara aambiwe weka Check no au password wao wanaona Tabu ila mfumo n mrahisi kuliko kutumia Jf app.
 
Ni mfumo wa ajabu sana hata kama mtandao wa simu yako unasoma 10mbps kufungua documents za kwenye mfumo ni shida
 
Mfumo mbona ni mrahisi tu na unaeleweka tatizo Ofisi za Umma zimejaa wazee ambao kufungua tu mifumo kwao n mtihani mara aambiwe weka Check no au password wao wanaona Tabu ila mfumo n mrahisi kuliko kutumia Jf app.
Umeandika takataka
 
Mi nmeyakuta mafaili ya mzumbe,kwenye subtask zangu pale palipoandikwaa attach file,pia nmeongezewa majukumu bila kuelewa!PEPSMIS NI SHIDA AISEE
 
Majuzi walitoa tangazo la ku-scan vyeti vya shule, kuzaliwa, kuanza kazi, ndoa nk. Iwe imekamilika ndani ya siku 2 la sivyo hupati mshahara. Wenye stationery walipiga pesa balaa. Kila cheti huku kijijini kwetu ilikuwa buku halafu vyeti zaidi ya kumi.
Simu Janja mnazitumia tu ku-comment humu Jukwaani?? Hamuwezi ku Scan wenyewe???
 
Sitasahau nilivyokosa mshahara wa Machi na Aprili kwa upumbavu wa hii PEPSI sijui Coca-Cola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…