Ccm ilishinda wapi wakati walifukuza wote uwanjani wakabaki peke yao na bila hata watazamaji. Chama kiko madarakani kwa zaidi ya nusu karne lakini kinaogopa uchaguzi balaa. Very hopeless indeed.Si ndio waliochagua CCM ikashinda law kishundu au??
Pamoja na wananchi wengine lakini wana CCM ndio walioiachagua ilani ya CCM na kupenda sera zao na ndio maana ikashinda na sasa mama ndio anafanyia kazi ilani hiyo
Kweli kabisa mkuu. Kwa mfano jeshi lingeamua kutofuata katiba ingekuwaje?Mhe. Rais, uliupata Urais kwa kurithi kulingana na matakwa ya Katiba na sheria za nchi yetu. Embu fikiria wasingefuata katiba na sheria kwenye eneo hilo, labda sasa hivi usingekuwa rais.
Unamuongelea Nani? Yule wa Mirembe au wa kwa Dr. Mahenge ward no. 4 Rufaa Mbeya?Tuliwaambia JPM ni the best president, mkabishi. Haya sasa mnajinyatua kurudi taratiiiiibu.