Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

Kwa maoni yangu mimi katiba mpya inahitajika. Tatizo linakuja mnapotaka ipatikane the way mnavyotaka ipatikane.

Ipatikane kwa mujibu wa sheria tu iliyotungwa, na kufuata muongozo na msingi wa maoni ya wananchi. Sio wana CCM wajipe mandate ya kujitungia katiba yao
 
Hahahah wajinga wajinga hawawezi elewa yani! Utawala na uongozi unataka sauti moja yenye mamlaka. Ukitaka kutekeleza mpango pale nyumbani mke anapinga watoto nao wengine wanaafiki wengine wanakupinga mwisho wa siku itakubidi uchague kufanya unachoamini ni sahihi kwa manufaa yenu wote na huo ndio uongozi! Huwezi kuokoteza maoni ya kila mtu ukataka yote uyatekeleze utakuwa kichaa!😂😂😂

Sio lazima kuwa na extreme power ili uwe rais bora. Tuna mifano hai ya marais wanaobanwa na katiba na wanalazimika kufuata sheria regardless of their egoism, so hatuwezi kuwa tunafanya bahati na sibu ili kumpata rais bora, tunahitaji katiba itakayomshape rais aliyeko madarakani awe bora
wewe unaona ni nani katika vyama vyetu vya siasa vilivyopo ni kiongozi gani ambaye anaweza kuifuata hiyo katiba kama mfano chadema tu wameshindwa kuheshimu katiba yao wenyewe wanashindwa kubadirishana uongozi mpoaka mwenyekiti aamue sasa hiyo katiba ya nchi atawezaje kuifuata?tena mtu akitaka kiti kile anakuwa mkali sana na unaweza kupotea
 
Hizo ni porojo tu za vijiweni, acheni uzushi.
Hakuna ambaye angeweza kumuondoa jiwe zaidi ya Mungu.

BTW mada hapa ni kumshauri rais afuate misingi yote ya haki
Raisi amesema anafanya haki, amewatoa watu gerezani sijui mahabusu amewarudisha uraiani! Sasa kila jambo litafanyika kwa hatua. Tulizeni vipele kila kitu kitafanywa kwa wakati maalum! Hapo lugha ya mama imeonekana kama anaongea kichina na amegeuka kuitwa “She show her true colors of a dictator like magufuli”
 
Hahahah wajinga wajinga hawawezi elewa yani! Utawala na uongozi unataka sauti moja yenye mamlaka. Ukitaka kutekeleza mpango pale nyumbani mke anapinga watoto nao wengine wanaafiki wengine wanakupinga mwisho wa siku itakubidi uchague kufanya unachoamini ni sahihi kwa manufaa yenu wote na huo ndio uongozi! Huwezi kuokoteza maoni ya kila mtu ukataka yote uyatekeleze utakuwa kichaa![emoji23][emoji23][emoji23]

Akili kama zenu ndio zilimzaa jiwe, zikampa urais na akafanikiwa kuwashikia akili
 
wewe ndiyo unasema hivyo umefanya sensa gani utuonyeshe kuwa wengi wanataka hayo mabadiriko yako? jisemee mwenyewe usimsemee na mtu mwingine ndiyo maana kura huwaga ni siri kila mtu ana mawazo yake usiseme wengi sema wewe unakiu ya mabadiriko nani mwingine ana kiu mbona mimi sina

Siri kwa uchaguzi upi? Ule uchafuzi wa 2020 uliofanywa na Jiwe au ule wa serikali za mitaa 2019?? Chagua hapo
 
Wanataka ipatikane kwa jinsi wanavyotaka wao! Yani mtoto akwambia baba ninunulie Play station 5 ghafla na analia na kugala gala hataki kula,,,wakati kuna ada ya kulipa mwezi wa 7 mwanzoni na ndio unajipanga kukusanya hela! You can relate na utoto wa akina Mbowe wanaotaka kuleta!
Haswaaaa.

Hapo hapo wamekalia ongezeko la mishahara, hawajui kama taifa mapato yetu ni kiasi gani kwa mwezi na matumizi yetu yakoje.

They are not in a position ya kumpangia Rais and they will never be.
 
wewe unaona ni nani katika vyama vyetu vya siasa vilivyopo ni kiongozi gani ambaye anaweza kuifuata hiyo katiba kama mfano chadema tu wameshindwa kuheshimu katiba yao wenyewe wanashindwa kubadirishana uongozi mpoaka mwenyekiti aamue sasa hiyo katiba ya nchi atawezaje kuifuata?tena mtu akitaka kiti kile anakuwa mkali sana na unaweza kupotea
Honestly, silioni hili kwa Mbowe na genge lake wala CCM!

My brother hali ya maisha tuliofikia kwa sasa ni the strongest survive the weakest suffer...Madaraka ndio kila mwanasiasa anataka hizi porojo zenginezo ni kelele za mawimbi tu baharini! Madaraka yanakuja na mamlaka na pesa na control ya kila kitu! Ingekuwa tunaweza kufanya Mockery ya uongozi tungewapa hao Chadema utawala halafu uone kama wangetaka kuondolewa madarakani kwa misingi ya haki na kubadili katiba. They would have done similar to what CCM guys are doing kulinda maslahi yao or even worse!
 
Umejuaje mkuu??? Mimi nimeongea kwa kuangalia sanduku la kura. Je wewe umeangalia nini??

Sanduku la kura la uchaguzi upi??? Huu huu wa 2020??? Au kuna mwingine?

Ule ulikua uchafuzi wa hali ya juu, hakuna uchaguzi pale
 
Kwa hiyo umekubali wewe ni shithole? Au lugha ni ngumu ndugu?
lugha ngumu nitafsilie siyo wote tumesoma wengine tumesoma tukapata zero kama mbowe tu
Siri kwa uchaguzi upi? Ule uchafuzi wa 2020 uliofanywa na Jiwe au ule wa serikali za mitaa 2019?? Chagua hapo
hujajibu hoja nimekuuliza nani aliyekuambia anaytaka mabadiriko sema wewe unataka mabadiriko uchaguzi ulifanyika kama wewe unaona ni uchafuzi kwakuwa hukupata madaraka mbona wapinzani wengine walipata walikuwa na katiba yao pekeyao?
 
Honestly, silioni hili kwa Mbowe na genge lake wala CCM!

My brother hali ya maisha tuliofikia kwa sasa ni the strongest survive the weakest suffer...Madaraka ndio kila mwanasiasa anataka hizi porojo zenginezo ni kelele za mawimbi tu baharini! Madaraka yanakuja na mamlaka na pesa na control ya kila kitu! Ingekuwa tunaweza kufanya Mockery ya uongozi tungewapa hao Chadema utawala halafu uone kama wangetaka kuondolewa madarakani kwa misingi ya haki na kubadili katiba. They would have done similar to what CCM guys are doing kulinda maslahi yao or even worse!
hakika mkuu pale juu patamu usidhani wakiingia watakubali kutoka never yaani watakuwa hawasikii la mtu tena
 
wewe unaona ni nani katika vyama vyetu vya siasa vilivyopo ni kiongozi gani ambaye anaweza kuifuata hiyo katiba kama mfano chadema tu wameshindwa kuheshimu katiba yao wenyewe wanashindwa kubadirishana uongozi mpoaka mwenyekiti aamue sasa hiyo katiba ya nchi atawezaje kuifuata?tena mtu akitaka kiti kile anakuwa mkali sana na unaweza kupotea

Chadema is not of my interest, i care less about its affairs, am interested on my country’s wellbeing and future.

Katiba bora itatupa future bora ya taifa letu, so regardless of the political party tutapata kiongozi bora tu
 
Haswaaaa.

Hapo hapo wamekalia ongezeko la mishahara, hawajui kama taifa mapato yetu ni kiasi gani kwa mwezi na matumizi yetu yakoje.

They are not in a position ya kumpangia Rais and they will never be.
Hawa jamaa wame prove kwamba wao ni wajuaji sana na kujifanya wanapendekeza kila lao lifanywe.

Wakikaziwa hilo ndio wanaitumia kama silaha ya kumpaka choo raisi. But trust me atachoka na eventually she will cut them loose unless aingie kwenye mfumo wa kuwapa vibahasha ili watulie...Huu upuuzi aliulea JK wa ku entertain siasa za kupakazana mavi in expense ya hongo ila Magu akaukataa na kuonekana dikteta.

Magufuli aliukataa huu ushenzi ndio chanzo cha bifu zito!
 
Raisi amesema anafanya haki, amewatoa watu gerezani sijui mahabusu amewarudisha uraiani! Sasa kila jambo litafanyika kwa hatua. Tulizeni vipele kila kitu kitafanywa kwa wakati maalum! Hapo lugha ya mama imeonekana kama anaongea kichina na amegeuka kuitwa “She show her true colors of a dictator like magufuli”

Jiwe mwenyewe alisema apewe muda, ainyoshee nchi.

Narudia tena, Katiba mpya ni hitaji la kisheria, sio hisani
 
Tutambue anapozuia Katiba Mpya ni kwamba anawalinda wale wa chama chake hapo anakuwa mwema kwao, na mbaya kwa wapenda mabadiliko, kumtaka awe mwema kwa wote itakuwa ngumu sana kwake, lazima kuna kundi halitaridhika vinginevyo ajitoe mhanga hasa.
Huwa nawashangaa mbumbumbu kama nyie mnaodai katiba mpya..hv huoni hii iliyopo inakanyagwaa usiku na mchana bila aibu..unazan hiyo mpyaa ndo itakuwa tofaut na hii au..?..ni upuuzi wa kupita viwango kudai katiba wakati iliyopo inakanyagwaa..hata hiyo ijayo itakanyagwaa tu..alaf uje hapa uanze kuongea uovo tenaa
 
But hio ndio wanaitumia kama silaha ya kumpaka choo raisi. But trust me atachoka na eventually she will cut them loose unless aingie kwenye mfumo wa kuwapa vibahasha ili watulie...Huu upuuzi aliulea JK wa ku entertain siasa za kupakazana mavi in expense ya hongo ila Magu akaukataa na kuonekana dikteta.

Magufuli aliukataa huu ushenzi ndio chanzo cha bifu zito!

Magufuri aka jiwe was indeed a dictator, no question about that, and kuhusu kumsema rais ili afuate katiba ni lazima na wala sio ombi, hilo hatutaacha na ndio kwanza kumekucha,
 
Chadema is not of my interest, i care less about its affairs, am interested on my country’s wellbeing and future.

Katiba bora itatupa future bora ya taifa letu, so regardless of the political party tutapata kiongozi bora tu
niambie kama inakwamisha maendeleo ndiyo nitakusaport na inakwamishaje othorwise unademka tu hapa
 
hakika mkuu pale juu patamu usidhani wakiingia watakubali kutoka never yaani watakuwa hawasikii la mtu tena
Umilikishwe majeshi yote halafu atokee mpuuzi analeta fyoko fyoko wachana na madaraka aisee!😂😂😂

Watu karibia laki 4 wanaripoti chini yako! Inahitaji hekima ya hali ya juu na hilo silioni kwa mtu kama Mbowe ambaye uwenyekiti wa chama tu kaukomalia miaka yote hataki wenzie washike alimfukuza zitto kabwe sababu hio!
 
Back
Top Bottom