This was my point earlier! Katiba inataka mtu muadilifu wa kuifata,,,asipokuwepo muadilifu hata hio iliofanyiwa maboresho itakuwa haina maana! Na raisi kupewa powers ni ili kuhakikisha nchi inatawalika vyema! Ingekuwa raisi anaweza kufanyiwa fujo jinsi wananchi watakavyo utawala ungefanyikaje sasa? Maraisi wa 4 wa kwanza hawakutaka tu ku exercise hizo extreme powers ila wangetaka wangeweza tu ila Magufuli alizi exercise ndio maana akaonekana mmbaya na hafai ila kwa nchi ilipokuwa imefikia ilibidi tu iwe hivyo! Wenye akili timamu watanielewa!