Wanachama walio wengi sio wakweli. Wengi wanayafuta namna ya kunufaka na kiti cha Urais hasa kwa kumfurahisha rais aliyeko madarakani.
Mfano hai, Rais wa sasa ndiye alikuwa mshauri namba moja wa Mtangulizi wake, ndiye alikuwa msaidizi namba moja, lakini wote ni mashahidi kwamba mambo mengi aliyoyafanya mtangulizi wake hakukubaliana nayo, mathalani hakuwahi kumshauri vinginevyo na kama alimshauri akakataa angechukua hatua ya ku resign kulinda legacy yake.
Hivyo basi, kwa nature ya taifa letu watakao sema ukweli kwa manufaa ya taifa ni wale wasiofaidika na uongozi wa kisiasa au teuzi za moja kwa moja za Rais.
Mifano hai ni kutoka kwa mwendazake