Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

Nimesoma heading pekee (ila jibu lake ni kwamba anaweza)

Nadhani unahitaji kumsoma Niccolo Machiavelli...

It's better to be feared than loved, if you can't be both......

Sio kwamba naunga mkono Machiavellianism, bali ninakwambia its possible since, Politics have no Relation to Morals...
 
Huwezi jua umuhimu wa katiba mpya ukiwa madarakani.
Mkapa, Kikwete,Sumaye,Lowasa,Membe walihitaji baada ya kutoka madarakani.
NO ni baada ya kula na kushiba, course hapo kabla walikuwa nje na walisikia mwangwi wa katiba mpya ila walijitia upofu.

Hebu tutulie kidogo, "kwa miaka 5 wengi tuliumizwa sana, ..." 😁
 
Exactly, kwanza nina wasiwasi na waliopitiasha hiyo katiba ya 1977, Je walishirikisha wananchi?
Hakuna mwananchi aliyeshirikishwa. Hii Katiba iliandaliwa na watu wasiozidi watano, wakiongozwa na Pius Msekwa! Katiba ya mwaka 1977 ni hovyo mpaka basi!

Maana vipaumbele vyake vilikuwa ni viwili tu; Kumuongezea Mwalimu mamlaka ya kuitawala nchi kama Rais Mfalme, na kuifanya CCM kuwa Chama Dola! Na ndiyo maana hakuna Rais au mwanaccm anayetaka Katiba Mpya! Wanajua fika wakiruhusu jambo hili kutokea, na ccm itakufa kifo cha mende.
 
Tuliwaambia JPM ni the best president, mkabishi. Haya sasa mnajinyatua kurudi taratiiiiibu
The Best President kamwe hawezi kutoka CCM! Na Tanzania haitokuja ipate Rais bomu kama magufuli. Huyu ana unafuu mara 100 kuliko huyo magufuli wako.

Ingawa kwenye viwango vya wapenda demokrasia na mabadiliko ya kweli, bado anaonekana kusuasua! Na sababu ni kada wa ccm!
 
Tutambue anapozuia Katiba Mpya ni kwamba anawalinda wale wa chama chake hapo anakuwa mwema kwao, na mbaya kwa wapenda mabadiliko, kumtaka awe mwema kwa wote itakuwa ngumu sana kwake, lazima kuna kundi halitaridhika vinginevyo ajitoe mhanga hasa.
Kumaniokor tutaelewana tu taratibu wacha tuoneshane makali!

JPM mlimuita kichaa but that muthafucka was straight.Huwezi kufurahisha kila mtu you are not an ice cream! Changes come with pains ila wadanganyika wanataka changes zije smoothly. Katiba ni muhimu ila mkumbuke pia mabadiliko yake yatasababisha maumivu kwa watu flani and you know what,,,

”The ones to suffer ndio walioshikilia mpini and you guys mko kwenye makali”

Sasa ni nani atakubali ku Jeorpadize kesho yake kwa kukufurahisha wewe? 😅😅😅 Think Big!!! High stakes are to the advantaged! Subirieni malaika atakae kuwa raisi wa nchi ndio atakaeleta katiba mpya!
 
Mi mwenyewe nilishtuka kusikia kauli zile, maana alizitumia mwendazake kuwa kipaombele chake ni uchumi sio hayo mengine, nikuulizeni bi Mkubwa unaferi wapi?
 
Msemaji wa Mama ni matendo yake.Ameshapiga marufuku mikutano ya kisiasa ambayo siyo tu kwamba ni haki yetu kikatiba bali pia ni universal declaration of human rights.Mama ni inept leader anaetumia udikteta kuficha ujinga pamoja na madhaifu yake.

Asante kwa maoni, tunamtaka afuate katiba au la, tujue rangi yake halisi
 
yaani mnahaha na katiba utafikiri inamuhimu sana kama itawaletea hela wacheni uchumi ukue hayo mengine baadae sana

Acha uduwanzi, katiba kwa taifa lolote imara ndio msingi wa maendeleo kwa taifa kiuchumi na kijamii, sasa nyinyi mlioko madarakani ndio mnakwamisha mchakato huu ili muendelee kufaidika.

Katiba mpya ni lazima aisee.
 
Nimesoma heading pekee (ila jibu lake ni kwamba anaweza)

Nadhani unahitaji kumsoma Niccolo Machiavelli...

It's better to be feared than loved, if you can't be both......

Sio kwamba naunga mkono Machiavellianism, bali ninakwambia its possible since, Politics have no Relation to Morals...

What are you implying then, that let her be feared?
Mshauri Mama atende kwa majubi wa matakwa ya wananchi walio wengi na kwa mujibu wa sheria zetu.
We dont need favor nor sympathy from her, we need our rights to be fully exercised.
 
Kumaniokor tutaelewana tu taratibu wacha tuoneshane makali!

JPM mlimuita kichaa but that muthafucka was straight.Huwezi kufurahisha kila mtu you are not an ice cream! Changes come with pains ila wadanganyika wanataka changes zije smoothly. Katiba ni muhimu ila mkumbuke pia mabadiliko yake yatasababisha maumivu kwa watu flani and you know what,,,

”The ones to suffer ndio walioshikilia mpini and you guys mko kwenye makali”

Sasa ni nani atakubali ku Jeorpadize kesho yake kwa kukufurahisha wewe? [emoji28][emoji28][emoji28] Think Big!!! High stakes are to the advantaged! Subirieni malaika atakae kuwa raisi wa nchi ndio atakaeleta katiba mpya!
Hahahaaaaaa, ila leo jitahidi unywe maji mengi sana hicho kichwa kisipasuke.
 
Muda si mrefu na yeye atakuwa kama mtangulizi wake tu. Kwa mbaali madaraka yameshaanza kumlevya.

Ukiwa Kiongozi, halafu ukashindwa kutambua mahitaji ya wale unao waongoza kwa wakati huo, maana yake umeshakuwa failure tayari

mahitaji ya chadema ndo mahitaji ya nchi?
 
Hakuna aliyemzuia kufanya hizo kazi, kama ambavyo wewe unauza mchicha sokoni kupata kitu, kuna wengine maisha yao yanategemea mikutano na shughuli za kisiasa, na ni haki yao.
Hahahah watu wanategemea mkutano wa kisiasa ndio wale?
 
Back
Top Bottom