Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

Kumaniokor tutaelewana tu taratibu wacha tuoneshane makali!

JPM mlimuita kichaa but that muthafucka was straight.Huwezi kufurahisha kila mtu you are not an ice cream! Changes come with pains ila wadanganyika wanataka changes zije smoothly. Katiba ni muhimu ila mkumbuke pia mabadiliko yake yatasababisha maumivu kwa watu flani and you know what,,,

”The ones to suffer ndio walioshikilia mpini and you guys mko kwenye makali”

Sasa ni nani atakubali ku Jeorpadize kesho yake kwa kukufurahisha wewe? [emoji28][emoji28][emoji28] Think Big!!! High stakes are to the advantaged! Subirieni malaika atakae kuwa raisi wa nchi ndio atakaeleta katiba mpya!

Itafika hatua hatutaiomba tena hiyo katiba, tutai demand by all means, kwa hiyo kiongozi bora ni yule anayejali waliowengi kwani siku nchi ikiamua atatamani kuruisha siku nyuma.
Kuna mifano mingi ya nchi nyingi
 
Usimlaumu, laumu ufisadi wako na wenzio umewaponza.
Kaponzwa nani sasa mimi au nyie na yeye aliye waaminisha kuwa ni mungu wenu mkamuamini Na matumaini yote mkaweka kwake mkiamini sasa mmepata mungu wa dunian matokeo yake kawaacha solemba
 
Acha uduwanzi, katiba kwa taifa lolote imara ndio msingi wa maendeleo kwa taifa kiuchumi na kijamii, sasa nyinyi mlioko madarakani ndio mnakwamisha mchakato huu ili muendelee kufaidika.

Katiba mpya ni lazima aisee.
Andamana basi🤣🤣🤣 mmeambiwa msubirie uchumi ujengwe kwanza, eti “Mama..mama...mama kwa hili hapana!”

Huyo shwaini angekuwa raisi kwa alivyo mgumu kama wheelspanner sijui kama hata angekubali kuachia madaraka!
 
Muda si mrefu na yeye atakuwa kama mtangulizi wake tu. Kwa mbaali madaraka yameshaanza kumlevya.

Ukiwa Kiongozi, halafu ukashindwa kutambua mahitaji ya wale unao waongoza kwa wakati huo, maana yake umeshakuwa failure tayari
Ameshaanza kupandisha mabega. Spana ziendelee tu hakuna jinsi nyingine
 
Wengi tu, wakiwemo wabunge wote wa CCM,
Hahaha sasa wale mkutano wa kisiasa kwao si wameruhusiwa 😂😂😂 hawawezi kufa njaa!!! Ila kitu ambacho wengi hatujui ni kuwa hawa viongozi wa CCM wanafanya kazi kwa welfare ya CCM pia so kila maamuzi ni lazma yawe yanai favour CCM sometime unaeza ona mtu ni katili ila sasa ndio vikaoni humo kaambiwa afanye jambo flani 😀 kwa niaba ya chama! Sasa CCM wafanye maamuzi ya kuji self destruct we uliskia wapiii?
 
Andamana basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmeambiwa msubirie uchumi ujengwe kwanza, eti “Mama..mama...mama kwa hili hapana!”

Huyo shwaini angekuwa raisi kwa alivyo mgumu kama wheelspanner sijui kama hata angekubali kuachia madaraka!

Miaka 60 madarakani bado mnatengemaza uchumi? CCM ni matapeli na mafisadi wa kudumu?
Semeni mnachohofia, wala sio mambo ya uchumi, mnajua fika kayiba mpya ndio hukumu yenu ya kifo
 
What are you implying then, that let her be feared?
Mshauri Mama atende kwa majubi wa matakwa ya wananchi walio wengi na kwa mujibu wa sheria zetu.
We dont need favor nor sympathy from her, we need our rights to be fully exercised.
Umesoma mstari wa mwisho.....

Sio kwamba naunga mkono Machiavellianism, bali ninakwambia its possible since, Politics have no Relation to Morals...
 
Miaka 60 madarakani bado mnatengemaza uchumi? CCM ni matapeli na mafisadi wa kudumu?
Semeni mnachohofia, wala sio mambo ya uchumi, mnajua fika kayiba mpya ndio hukumu yenu ya kifo
Ah wapii tulianza kunyoosha nchi sahizi tunajenga uchumi kwanza sio mda wa siasa😂😂😂 na kampeni
 
Hahaha sasa wale mkutano wa kisiasa kwao si wameruhusiwa [emoji23][emoji23][emoji23] hawawezi kufa njaa!!! Ila kitu ambacho wengi hatujui ni kuwa hawa viongozi wa CCM wanafanya kazi kwa welfare ya CCM pia so kila maamuzi ni lazma yawe yanai favour CCM sometime unaeza ona mtu ni katili ila sasa ndio vikaoni humo kaambiwa afanye jambo flani [emoji3] kwa niaba ya chama! Sasa CCM wafanye maamuzi ya kuji self destruct we uliskia wapiii?

Sasa wameruhusiwa kwa sheria ipi? Na wasio wabunge wamekatazwa kwa sheria ipi? Embu kuwa wazi kidogo, au tuchue maoni ya rais kuwa sheria? Kwamba kila rais atakeyatamka alichokubaliana na wenzake kiwe sheria???
 
Acha uduwanzi, katiba kwa taifa lolote imara ndio msingi wa maendeleo kwa taifa kiuchumi na kijamii, sasa nyinyi mlioko madarakani ndio mnakwamisha mchakato huu ili muendelee kufaidika.

Katiba mpya ni lazima aisee.
NIAMBIE HIYO KATIBA MPYA INAKWAMISHAJE MAENDELEO KAMA UNA AKILI UTAFAFANUA LAKINI KAMA UNAFUATA MKUMBO SWALI GUMU SANA NA NDIYO NITAJUWA WENGI MNAFUATA MKUMBO INAKWAMISHAJE MAENDELEO?
 
Watu wa kukwambia ukweli kuhusu taifa hili, ni wapinzani wako wa kisiasa na wananchi wasio na mamlaka ya kisiasa.
Uzi wako ni mzuri sana mkuu.

Umemshauri na kunikumbusha Mheshimiwa rais kwa staha na heshima sio kama hawa mapunguani wengine.

Naomba kujuzwa zaidi kwenye hiyo hoja hapo.

Mimi nijuavyo ni kwamba Rais anakuwa na ilani ya chama chake ambayo ndio alioitumia kuwashawishi WANANCHI. Narudia tena mkuu, kuwashawishi WANANCHI wamchague na wala sio wana CCM kama inavyodhaniwa ili wamchague.

Sasa Leo unaposema watu wa kumwambia ukweli rais ni wapinzani wake, hii imekaajee??

Kwahiyo aachane na ahadi (ilani) ya chama?? Ambazo wananchi ndio walizielewa na kumchagua au kukichagua chama chake?? Ili awasikilize wapinzani???
 
Hakuna aliyemzuia kufanya hizo kazi, kama ambavyo wewe unauza mchicha sokoni kupata kitu, kuna wengine maisha yao yanategemea mikutano na shughuli za kisiasa, na ni haki yao.
huo ndiyo ujinga wenu kuna mtu anakula kutokana na mikutano? kunahela inatoka wapi unayogawiwa kwenye mkutano?acheni ujinga
 
Back
Top Bottom