Mteuzi mwenyewe ndiye huyo amewahi kusema macho yake yamelegea! How do you take that?wanatakiwa kujua vyeo vikubwa kama vya kuteuliwa viwe ukuu wa mkoa etc na Raisi they need to behave themselves as senior responsible government officials
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mteuzi mwenyewe ndiye huyo amewahi kusema macho yake yamelegea! How do you take that?wanatakiwa kujua vyeo vikubwa kama vya kuteuliwa viwe ukuu wa mkoa etc na Raisi they need to behave themselves as senior responsible government officials
Words🤣🤣Kwani ikiteuliwa ni lazima ukubali, ya nini kusimangwa kama mtoto kisa ukuu wa mkoa, mbona sie wengine tunaishi hata ukuu wa kaya hatuujui unafananaje
Acheni kujidekeza na umama umama.
Rais afanye kazi kama Rais wa nchi na sio UMAMA UMAMA mara sijui MWANANGU.
Hapa hatuna Rais. Tuna sanamu yenye ushungi.
Wewe unaweza kukataa ukuu?Kwani ikiteuliwa ni lazima ukubali, ya nini kusimangwa kama mtoto kisa ukuu wa mkoa, mbona sie wengine tunaishi hata ukuu wa kaya hatuujui unafananaje
Angekuwa hamuamini asingemteua..Mnaweza kuwa watu kibao ila Wenye uwezo ni wachache..Nchi ina watu kibao lakini yeye kamteua mtu asiyemuamini!! amemteua wa nini?? Chalamila ameumbwa vile sasa sijui kama ataweza kuwa siriaz??
Kwanza ana msaidia, Chalamila anapenda kuweka masihala pasipohitaji masihala..Hakuna tatizo kwa Mama kumwambia mwanae ukweli.
Hii inathibitisha kuwa Mama anampenda mwanae ndio maana kamwambia ukweli maana hataki kuona mwanae anaharibikiwa tena.
naamini Mama anamwamini sana kuwa mwanae ni hodari kwa kuchapa kazi.
Kuwa kiongozi ni heshima,pesa tuu haitoshi ndio maana hata mabwanhenye huko Ulaya wanapambana wawe viongozi..Msando si alikuwa anajifanya ana hela jumbe uzushi tu,mshahara wa RC hauzidi milioni kumi ,Kafulila alikaribia kupasuka kwa unene,watakuwa wanapiga dili na wakurugenzi wa halmashauri
Sasa akiwa timu mgaso kuna shida?.Si waseme tu kuwa ni timu mgaso??
Na huyo aliyemteuwa kwani alilazimishwa kumteuwa mtu ambaye anajua ni mtundu kama hakuna watu wengine.Kwani ikiteuliwa ni lazima
ukubali, ya nini kusimangwa kama mtoto kisa ukuu wa
mkoa, mbona sie wengine
tunaishi hata ukuu wa kaya
hatuujui unafananaje
Tatizo ni kuwa alikua anatuzuga kumbe ni double agent.Sasa akiwa timu mgaso kuna shida?.
Wewe ulitaka awe timu gani?
Hakuna lolote ujinga mtupu!Wateuliwa wote wapelekwe seminar ya how to behave like a senior Government official
Mbona mabalozi hupewa seminar kabla kuruhusiwa kwenda ofisi ya ubalozi
Acha wivu wa kikeRaisi yuko Sahihi Chalamila na Makongoro Nyerere wanatakiwa kujua vyeo vikubwa kama vya kuteuliwa viwe ukuu wa mkoa etc na Raisi they need to behave themselves as senior responsible government officials not as comedians Or playboys.Nafasi hizo ni kubwa
Ashasema yeye anachagua aonaye ni sawa maana katiba imempa mamlakaMwambieni mhe rais kuwa nasubiri maelezo ya kwann amemtengua Dr. Rafael Chegeni
Lukuvi+ Prof+ Ndugu+ Chala+ ......... = Mshtuko!?Nchi ina watu kibao lakini yeye kamteua mtu asiyemuamini!! amemteua wa nini?? Chalamila ameumbwa vile sasa sijui kama ataweza kuwa siriaz??
Hata wanawake ukiwauliza wanataka nini wengi hawajui. Acha twende tu hivyo hivyo. Kuba mmoja katumbuliwa kabla ya kuapishwa, sasa na yeye akakue au Kuna sababu nyingine?Mbona wakubwa walioishakua wapo tayari? Mpaka tumsubiri mtu mmoja akue saa ngapi?