Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Kauli ya mama imetusaidia kung'amua kwamba kesi Mbowe ni ya 'kupikwa'.
 
Kuweni makini. Usipokuwa na heshima na kupiga piga makelele ya katiba mpya, tutakubambika na kesi ya ugaidi, ukae ndani mpaka uoze.
 
Kwenye uongozi wa Nchi kama Mungu hajapenda huwezi kupata. Acha kumuonea wivu ndiyo Rais wako upende usipende. Akina Lowassa wameutafuta uRais kuanzia mwaka 1995 na wakaenda ndani ya CCM na UPINZANI hawakupata. Hata kama humkubali wewe hayuko hapa kufurahisha nafsi ya Wyatt Mathewson bali kutimiza kazi akiyotumwa na Watanzania.

Yeye Samia siye aliyemtengenezea mashtaka bali hayo ni mashtaka ya kati ya April- November 2020.

Mwishowe mshaurini Mbowe awe na hekima aache kukurupuka. Mkumbusheni tu kuwa anaweza kuiburuza BAWACHA na BAVITA ambazo yeye ni sultani, lakini siyo Watanzania wengine.
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
ugaidi sio kuvunja sheria?
 
Ww mirungi ya arusha inakuharibu akili....hivi ww unajiona ulikuwa na akili kuliko magufuli mpaka umuite tahira? Huna credibility yoyote ya kusikilizwa kwa kichwa chako kichafu hivi......yaan ww mi mchaga wa hovyo sana
 
Mbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria
Mbona unaji - contradict na kauli ya Rais wako...?

Wewe unasema hivi wakati Rais wako kasema vile...?

1. "MBOWE afuate sheria", Rais Samia

SWALI: Kavunja sheria gani? Ya Ugaidi?

2. "MBOWE awe na heshima", Rais Samia

SWALI: Kamvunjia heshima nani?

å Katika orodha ya tuhuma huko mahakamani alipo Mbowe, hakuna kosa la " kuvunja heshima ya mtu fulani....."

å Hili ndugu yetu Rais Samia kalitoa wapi..? Kumbe ishu siyo Ugaidi tena ila ni kuvunja heshima tu?

Lol! Huyu ndiye Rais wetu. Ni kinyonga anayegeuka rangi kila mara...!!
 
Hata zile za Makaburu, Hitler na Iddi Amin zilikuwa dola na ndizo zilizokuwa zina control kila jambo katika Mataifa yao ila haikuzuia kina Mandela, Niemoller na Luwum kuibuka.

Askofu Desmond Tutu anayajua maandiko kuliko wewe samurai mweusi.
 
Hii sio Rule of Law hata kidogo. Tabia hii ya watawala wetu kujifanya DPP ni ubatili mtupu na upumbavu mkubwa. Wasipoangalia kuna siku watakuja kuiingiza hii nchi kwenye machafuko yasiyokuwa ya lazima!
Mbona hukusema hayo kwa jiwe wewe mataga?
 
60 mpaka 76 ni miaka 16 ni mimba za utotoni.
Mkuu sheria za ndoa za mwaka 71 ndiyo zinatumika hadi sasa.

Mtoto wa kike miaka15 anaoleka.

Kwa muktadha huu, udada unaishia miaka14, miaka zaidi ya hapo ni mama, ni sahihi kuitwa "mwanangu", kwa kuwa miaka16 anamzaa kama first born wake.
 
Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu.

Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!

Habari ndio hiyo
 
Huna hata uelewa wa msingi katika sheria.
Kisheria mtu yeyote atahesabika hana hatia mpaka pale itakapothibitishwa na washtaki wake mahakamani na mahakama ikakubali kwamba anayo hatia.

Hii ina maana hakuna mtu anayeweza kumtambua mtu mwingine kama mhalifu pasipo mahakama kusema hivyo. Washtaki na watu wengine wote wanaweza kusema ni mtuhumiwa tu. Muroto alikuwa anakosea sana.
 
Hayo hutendeka hivyo kwenye banana republics.
 
Sijui kama mama anafahamu siasa za wapambe Afrika..... wamemwingiza king na ndiyo watakuwa wa kwanza kumtukana akiondoka madarakani. Angefuatilia hata kesi angeelewa kwamba ni mchezo wa kilofa wa watu wake! Bado tuko na safari ndefu yawezekana maswaibu ya Afrika tulichelewa tu!
 
Kuna shida mahali katika kumuelewa Raisi ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…