Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Kauli ya mama imetusaidia kung'amua kwamba kesi Mbowe ni ya 'kupikwa'.
 
Kuweni makini. Usipokuwa na heshima na kupiga piga makelele ya katiba mpya, tutakubambika na kesi ya ugaidi, ukae ndani mpaka uoze.
 
Mkuu

Nadhani huna akili au unazo ila umeamua kutokuzitumia

Kiongozi anatakiwa aweke personal emotions zake pembeni

Hii inadhihirisha kabisa rais na nyie walamba magoti yake ni hamjui mnalolifanya

Yaani wewe unaongoza nchi unachukulia mambo kibinafsi eti humpendi fulani unamfungulia mashitaka hewa ili umfunge sababu tu kakuudhi wewe binafsi yako kwenye moyo wako regardless sheria za nchi?

Yaani mnaipersonalize nchi kua roho binafsi ya mtu?

hii maanae yake hamkustahili kupewa hii nchi ndio maana alipata madaraka kwa bahati mbaya kama ajali baada ya lile taahira kufa!

Ingekua ni kugombea kwa kura ndani ya CCM hata mchuja wa kwanza mama asingepita kokote...Alipata madaraka kwa bahati mbaya kama ajali!Maana ni kwamba yeye sio the most popular au most capable human being ndani ya CCM maana hajawahi pigiwa kura popote ndani ya CCM kugombea chochote!

Huwezi tesa wanadamu wengine sababu umeudhika kwenye moyo wako binafsi...unatunga kesi ili afungwe kuridhisha moyo wako

Ndio tunaita uongozi legelege,roho ndogo,hazifai kupewa madaraka makubwa hivi

Hakuna mahali Mbowe kasema anataka msamaha wa yeyote,hajawahi ongea na yeyote wala kuomba chochote tangu ashikwe.

Na Zitto kuja kujiongelesha hapo ni yeye binafsi Chadema haijamtuma popote....

Unachosikia Chadema mbalimbali wanachosema ni aachiwe bila masharti yeyote maana hana hatia yeyote maana yeye hajafungwa labda useme anaomba msamaha au hiyari ya rais..Aachiwe bila sharti lolote

Mbowe atatoka na utaona mzidi wa CDM

Kuwekwa jela nayo ni issue?Are you serious kweli?Lissu kapigwa risasi 30 hajaona lolote ndio jela ya Mbowe?

Jela ni vacation wewe maiti....
Kwenye uongozi wa Nchi kama Mungu hajapenda huwezi kupata. Acha kumuonea wivu ndiyo Rais wako upende usipende. Akina Lowassa wameutafuta uRais kuanzia mwaka 1995 na wakaenda ndani ya CCM na UPINZANI hawakupata. Hata kama humkubali wewe hayuko hapa kufurahisha nafsi ya Wyatt Mathewson bali kutimiza kazi akiyotumwa na Watanzania.

Yeye Samia siye aliyemtengenezea mashtaka bali hayo ni mashtaka ya kati ya April- November 2020.

Mwishowe mshaurini Mbowe awe na hekima aache kukurupuka. Mkumbusheni tu kuwa anaweza kuiburuza BAWACHA na BAVITA ambazo yeye ni sultani, lakini siyo Watanzania wengine.
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
ugaidi sio kuvunja sheria?
 
Mkuu

Nadhani huna akili au unazo ila umeamua kutokuzitumia

Kiongozi anatakiwa aweke personal emotions zake pembeni

Hii inadhihirisha kabisa rais na nyie walamba magoti yake ni hamjui mnalolifanya

Yaani wewe unaongoza nchi unachukulia mambo kibinafsi eti humpendi fulani unamfungulia mashitaka hewa ili umfunge sababu tu kakuudhi wewe binafsi yako kwenye moyo wako regardless sheria za nchi?

Yaani mnaipersonalize nchi kua roho binafsi ya mtu?

hii maanae yake hamkustahili kupewa hii nchi ndio maana alipata madaraka kwa bahati mbaya kama ajali baada ya lile taahira kufa!

Ingekua ni kugombea kwa kura ndani ya CCM hata mchuja wa kwanza mama asingepita kokote...Alipata madaraka kwa bahati mbaya kama ajali!Maana ni kwamba yeye sio the most popular au most capable human being ndani ya CCM maana hajawahi pigiwa kura popote ndani ya CCM kugombea chochote!

Huwezi tesa wanadamu wengine sababu umeudhika kwenye moyo wako binafsi...unatunga kesi ili afungwe kuridhisha moyo wako

Ndio tunaita uongozi legelege,roho ndogo,hazifai kupewa madaraka makubwa hivi

Hakuna mahali Mbowe kasema anataka msamaha wa yeyote,hajawahi ongea na yeyote wala kuomba chochote tangu ashikwe.

Na Zitto kuja kujiongelesha hapo ni yeye binafsi Chadema haijamtuma popote....

Unachosikia Chadema mbalimbali wanachosema ni aachiwe bila masharti yeyote maana hana hatia yeyote maana yeye hajafungwa labda useme anaomba msamaha au hiyari ya rais..Aachiwe bila sharti lolote

Mbowe atatoka na utaona mzidi wa CDM

Kuwekwa jela nayo ni issue?Are you serious kweli?Lissu kapigwa risasi 30 hajaona lolote ndio jela ya Mbowe?

Jela ni vacation wewe maiti....
Ww mirungi ya arusha inakuharibu akili....hivi ww unajiona ulikuwa na akili kuliko magufuli mpaka umuite tahira? Huna credibility yoyote ya kusikilizwa kwa kichwa chako kichafu hivi......yaan ww mi mchaga wa hovyo sana
 
Mbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria
Mbona unaji - contradict na kauli ya Rais wako...?

Wewe unasema hivi wakati Rais wako kasema vile...?

1. "MBOWE afuate sheria", Rais Samia

SWALI: Kavunja sheria gani? Ya Ugaidi?

2. "MBOWE awe na heshima", Rais Samia

SWALI: Kamvunjia heshima nani?

å Katika orodha ya tuhuma huko mahakamani alipo Mbowe, hakuna kosa la " kuvunja heshima ya mtu fulani....."

å Hili ndugu yetu Rais Samia kalitoa wapi..? Kumbe ishu siyo Ugaidi tena ila ni kuvunja heshima tu?

Lol! Huyu ndiye Rais wetu. Ni kinyonga anayegeuka rangi kila mara...!!
 
Kuzitii mamlaka na kuziheshimu..

Mamlaka au Dola ndio inacontrol kila jambo katika Taifa kupitia vyombo vyake, Dola kupitia vyombo vyake ina taarifa ya kila jambo linaloendelea hapa Tanzania kuliko mtu yeyote..
Kupitia taarifa hizo Dola ndio pia inapata nguvu ya kulinda mipaka na kutulinda humu ndani..

Dola kupitia vyombo vyake inaposema hili kwasasa lisifanyike na twende na uelekeo huu halafu ikatokea tofauti HAPO UTAKUWA UMESHINDWA KUIHESHIMU DOLA, kujaribu kuipa dola mashinikizo ya kisiasa wakati yenyewe kupitia vyombo vyake inajua position ya nchi kwa sasa iko hapa na kuliachia hili tutafika pale, UKAJARIBU KULAZIMISHA KWA NGUVU HOJA ZA KISIASA ni kutokuiheshimu dola na kukosa usikivu..m
Hata zile za Makaburu, Hitler na Iddi Amin zilikuwa dola na ndizo zilizokuwa zina control kila jambo katika Mataifa yao ila haikuzuia kina Mandela, Niemoller na Luwum kuibuka.

Askofu Desmond Tutu anayajua maandiko kuliko wewe samurai mweusi.
 
Hii sio Rule of Law hata kidogo. Tabia hii ya watawala wetu kujifanya DPP ni ubatili mtupu na upumbavu mkubwa. Wasipoangalia kuna siku watakuja kuiingiza hii nchi kwenye machafuko yasiyokuwa ya lazima!
Mbona hukusema hayo kwa jiwe wewe mataga?
 
60 mpaka 76 ni miaka 16 ni mimba za utotoni.
Mkuu sheria za ndoa za mwaka 71 ndiyo zinatumika hadi sasa.

Mtoto wa kike miaka15 anaoleka.

Kwa muktadha huu, udada unaishia miaka14, miaka zaidi ya hapo ni mama, ni sahihi kuitwa "mwanangu", kwa kuwa miaka16 anamzaa kama first born wake.
 
Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu.

Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!
20211215_185748108784.jpg

Habari ndio hiyo
 
Rais akizungumz kama Mkuu wa Executive sio state anawez kumtambua mtu yeyote alifikishwa Mahakamani kwa kosa la Jinai kama Mhalifu kwa kuwa upande wake (Serikali) ndio unatuhumu na kupeleka kesi mahakaman kama ambavyo upande unaotuhumiwa unaweza kutambua Mashtaka kama mashtaka ya kubambikiza

Kama una haki ya kutambua kesi ya Mbowe kuwa ya kubambikiwa basi na mwingine ana haki ya kutambua mashtaka hayo hayo kama mashtaka ya kweli

Kuna watu wanaamini wao wana haki ya kumkosoa Rais ila Rais hana haki ya kuwakosoa
Huna hata uelewa wa msingi katika sheria.
Kisheria mtu yeyote atahesabika hana hatia mpaka pale itakapothibitishwa na washtaki wake mahakamani na mahakama ikakubali kwamba anayo hatia.

Hii ina maana hakuna mtu anayeweza kumtambua mtu mwingine kama mhalifu pasipo mahakama kusema hivyo. Washtaki na watu wengine wote wanaweza kusema ni mtuhumiwa tu. Muroto alikuwa anakosea sana.
 
Mimi ukinipiga nakupeleka Mahakamani nikiamini Wewe umenipiga sio nakutuhumu umenipig, wengine ndio watakuita unatuhumiwa kwa kuwa watasubiri hukumu ndio waamue kama wewe ni mhalifu au laa

…mie ulienitendea uovu sihitaji na silazimiki kukuita mtuhumiwa
Hayo hutendeka hivyo kwenye banana republics.
 
Sijui kama mama anafahamu siasa za wapambe Afrika..... wamemwingiza king na ndiyo watakuwa wa kwanza kumtukana akiondoka madarakani. Angefuatilia hata kesi angeelewa kwamba ni mchezo wa kilofa wa watu wake! Bado tuko na safari ndefu yawezekana maswaibu ya Afrika tulichelewa tu!
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Kuna shida mahali katika kumuelewa Raisi ,
 
Back
Top Bottom