Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....


Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......

#Siempre JMT
You are stupid! Basi
 
Sio kila anayetofautiana kifikra na Lissu (ambaye ndiye umemuachia jukumu la kufikiri) ni MATAGA.

Kuna sehemu kwenye andiko langu nimemtaja mtawala kwa jina? This is what happens when you outsource your brain function!
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Mtaka nyingi nasaba huupata mwingi msiba.
 

Hii ina uhusiano gani na hoja iliyoko mezani. Wasiliana na uliyemuachia jukumu la kufikiria (Lissu) ili akusaidie kuona tofauti!
 
Vipi kuhusu wale Masheikh wa Arusha..??Mbina nao hawaachiliwi....???Au kwa vile wao si wa kutoka ZNZ.
Tunamuombea kwa ALLAH Mama Samia apate wepesi wa kuwafutia mashtaka.
Tunamuombea kwa ALLAH afanye hand shake na Mh Mbowe kama ile ya Uhuru na Raila huko Kenya.
Tunamuombea kwa ALLAH aruhusu katiba mpya ile ya Warioba imalize mchakato wake ili tuitumie
Tunanuomba ALLAH,kila ajae na nia ya kumkwamisha Mama Samia kama vile Polepole,basi aivunje yake dhamiri asiweze kusimama.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Sio kukata magogo tena,
Mali asili watatoa ushahidi wakuharibiwa misitu
 
Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?

Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Vipi jiwe na yeye alivokuwa anakosolewa na kufunga upinzani alikuwa na yeye mwanamke kwa kutokutaka kukosolewa?
 
Mh Mbowe ni mtuhumiwa tu, hajapatikana na hatia bado, Mh Rais kuendelea kuliongea ni sawa na kuifunga mahakama mikono katika kutenda Haki
Aliyemuongelea mboye na Nani?

Rais wapinzani wakuja na wazo mlenda kwa rais
 
Sasa kama maneno sio kitu, shida inakuja wapi Lisu akiongea?
Kusamehe unakuwa kidogo rais

Na Wala hakuwahi.kusema selikali ya rais ameiweka mfukoni mwake na hakuamuru Hilo tifu la mascat kalikuta linaendelea
 
Nadhani wachangiaji wengi hawakuelewa kauli ya mama.........

Kufuata sheria ni pamoja na kuacha mhimili wa mahakama ifanye kazi yake.....

Mbowe ametuhumiwa kwa ugaidi na makosa mengine na kesi yake ipo mahakamani hivyo ni vyema Sheria ikaachwa ichukue mkondo......

Kumtaka rais aingilie uhuru wa mahakama kwa kumtoa Mbowe ni kudharau mhimili wa mahakama......

Macho na masikio yote ya wazalendo n wapenda demokrasia ni huko mahakamani.....huko ndiko tutashuhudia namna gani Mbowe ataidhalilisha serikali kama kweli tuhuma zake ni za kubambikia....
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.


========

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewakumbusha viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia na kutii sheria ili kuepuka heshima zao kuondoka.

Rais Samia ameeleza hilo leo wakati akijibu ombi la Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe ambaye alimuomba awasaidie kumsamehe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe.

''Nataka nizungumzie kidogo aliloniomba mwanangu Zitto, kwamba yule mwenzetu msamehe basi aje awe na sisi. Demokrasia ni kuheshimu sheria, heshima ya mtu inakuja kwa kuheshimu sheria za nchi.,'' ameeleza Rais Samia Suluhu.

Ameendelea,’’Isingekuwa uvunjifu wa sheria leo isingemlazimu Zitto kuomba hapa kwamba yule mwenzetu muachie lakini unapovunja sheria unajivunjia heshima

“Naomba tufanye kazi kwa kuheshimu sheria, waswahili wanasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ingawa kusameheana nako kupo,” amesema Samia.

Aidha Rais Samia amesisitiza kuwa kuna taifa moja tu ambalo raia wote wanawajibika kulilinda.
Hivi ni mwanaccm gani alishawahi kuheshimu Katiba ya nchi, sheria, taratibu haki na utu kwamba inawapa haki kujiona wako clean? Uchaguzi uliibwa na viongozi wakuu kabisa wa ccm, watu kuuwawa, tume ya uchaguzi na vitendo vya ugaidi, mpaka mali za chama chao kuiba baada ya mali hizo kutuibia sisi watanzania bado mtu amtake Mbowe kuwa na heshima?? Kwa legitimacy na credibility ipi? Nashangaa mnooo
 
Back
Top Bottom