mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Ikiwa Mbowe hana hiyo jinai na wahusika wanajua hilo lakini hawakiri ukweli ni bora aachwe muda utaongea kwani njia ya mwongo ni fupi. Unaombaje msamaha kwa kosa usilotenda?Hivi wanavyofanya sasa chadema inaweza sababisha Mh.Mbowe asiachiwe.
Ingewatosha kunyamaza watu ambao mwisho wao ni maneno tu hata kujaribu kuandamana kutetea mwenyekiti hawakuweza. They are very weak opposition. Lkn maneno yao utasema Duh kimewaka.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app