Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Lissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Ukiwa na akili ndogo Ni vigumu Sana kumuelewa lissu. Anajua madhara ya kuomba eti huruma ya rais kumtoa mbowe wakati mbowe Hana Hilo kosa. Lkn usipomuelewa lissu utabaki kumuona Ni mkorofi, Kumbe mwenzio anaona mbele zaidi.
 
Hivi wanavyofanya sasa chadema inaweza sababisha Mh.Mbowe asiachiwe.
Ingewatosha kunyamaza watu ambao mwisho wao ni maneno tu hata kujaribu kuandamana kutetea mwenyekiti hawakuweza. They are very weak opposition. Lkn maneno yao utasema Duh kimewaka.
 
Kwani asipoachiwa ndio inakua Nini?Yule mbabe wa chatoh Yuko wapi?
 
Mahakama zifanye kazi yake. Kuna watanzania wangapi wanaoenda mahakamnai?

Au Mbowe Kama anahatia afungwe kama mahakama ikimkuta hana aachiwe.
 
Hivi wanavyofanya sasa chadema inaweza sababisha Mh.Mbowe asiachiwe.
Ingewatosha kunyamaza watu ambao mwisho wao ni maneno tu hata kujaribu kuandamana kutetea mwenyekiti hawakuweza. They are very weak opposition. Lkn maneno yao utasema Duh kimewaka.

Sasa kama maneno sio kitu, shida inakuja wapi Lisu akiongea?
 
Ukiwa na akili ndogo Ni vigumu Sana kumuelewa lissu. Anajua madhara ya kuomba eti huruma ya rais kumtoa mbowe wakati mbowe Hana Hilo kosa. Lkn usipomuelewa lissu utabaki kumuona Ni mkorofi, Kumbe mwenzio anaona mbele zaidi.
Siku yake ukiwa ngome ndio utajua kama ukiwa mle unahitaji namna yoyote ile utoke,lisu yuko ulaya wewe uko sebuleni kwako huwezi elewa mbowe aliyeko ngome jinsi anavyotaka hata arudi kwenye maisha yake ya kawaida,mko nyuma ya keyboard unaongea tu kufurahisha watu hapa,jela kusikie hivyo hivyo
 
Mbona hukusema hayo kwa jiwe wewe mataga?

Sio kila anayetofautiana kifikra na Lissu (ambaye ndiye umemuachia jukumu la kufikiri) ni MATAGA.

Kuna sehemu kwenye andiko langu nimemtaja mtawala kwa jina? This is what happens when you outsource your brain function!
 
Kwenye uongozi wa Nchi kama Mungu hajapenda huwezi kupata. Acha kumuonea wivu ndiyo Rais wako upende usipende. Akina Lowassa wameutafuta uRais kuanzia mwaka 1995 na wakaenda ndani ya CCM na UPINZANI hawakupata. Hata kama humkubali wewe hayuko hapa kufurahisha nafsi ya Wyatt Mathewson bali kutimiza kazi akiyotumwa na Watanzania.

Yeye Samia siye aliyemtengenezea mashtaka bali hayo ni mashtaka ya kati ya April- November 2020.

Mwishowe mshaurini Mbowe awe na hekima aache kukurupuka. Mkumbusheni tu kuwa anaweza kuiburuza BAWACHA na BAVITA ambazo yeye ni sultani, lakini siyo Watanzania wengine.
Bi tozo katumwa kazi gani na watanzania?
 
Siku yake ukiwa ngome ndio utajua kama ukiwa mle unahitaji namna yoyote ile utoke,lisu yuko ulaya wewe uko sebuleni kwako huwezi elewa mbowe aliyeko ngome jinsi anavyotaka hata arudi kwenye maisha yake ya kawaida,mko nyuma ya keyboard unaongea tu kufurahisha watu hapa,jela kusikie hivyo hivyo
Kauli kama hii ya kwako ni za kidwanzi sana! Hivi unafikiri Mbowe mwenyewe hakuyajua haya? Alipokataa kuunga juhudi licha ya misukosuko aliyopewa, angekuwa na akili za kwako si angekuwa ameishawasaliti wananchi? Mbowe anapajua jela wala hababaiki...hata yeye hataki aachiwe kwa michongo!
 
Wadau nadhani Mnaikumbuka Vizuri KESI ya Wale MASHEHE wa UAMSHO ya UGAIDI.Ni Imani yangu Mh RAIS SAMIA Kupitia DPP Atatumia UTARATIBU ule ule Alioutumia kuwafutia KESI wale MASHEHE Kuifuta KESI ya MBOWE na Wenzake ili KULETA MARIDHIANO ya KISIASA kwa Sababu KESI ya MASHEHE wa UAMSHO na KESI ya MBOWE zote ZIMETENGENEZWA. na ni KESI za KISIASA
 
Kauli kama hii ya kwako ni za kidwanzi sana! Hivi unafikiri Mbowe mwenyewe hakuyajua haya? Alipokataa kuunga juhudi licha ya misukosuko aliyopewa, angekuwa na akili za kwako si angekuwa ameishawasaliti wananchi? Mbowe anapajua jela wala hababaiki...hata yeye hataki aachiwe kwa michongo!

Inatosha nadhani unatumia nguvu nyingi. Ila ameelewa
 
Back
Top Bottom