Kwenye uongozi wa Nchi kama Mungu hajapenda huwezi kupata. Acha kumuonea wivu ndiyo Rais wako upende usipende. Akina Lowassa wameutafuta uRais kuanzia mwaka 1995 na wakaenda ndani ya CCM na UPINZANI hawakupata. Hata kama humkubali wewe hayuko hapa kufurahisha nafsi ya
Wyatt Mathewson bali kutimiza kazi akiyotumwa na Watanzania.
Yeye Samia siye aliyemtengenezea mashtaka bali hayo ni mashtaka ya kati ya April- November 2020.
Mwishowe mshaurini Mbowe awe na hekima aache kukurupuka. Mkumbusheni tu kuwa anaweza kuiburuza BAWACHA na BAVITA ambazo yeye ni sultani, lakini siyo Watanzania wengine.