You are stupid! BasiMmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....
Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......
#Siempre JMT
Sio kila anayetofautiana kifikra na Lissu (ambaye ndiye umemuachia jukumu la kufikiri) ni MATAGA.
Kuna sehemu kwenye andiko langu nimemtaja mtawala kwa jina? This is what happens when you outsource your brain function!
Mtaka nyingi nasaba huupata mwingi msiba.Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Inafikirisha sanaKuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Kumbe Hata Rais wa Kambo Aweza Kuwa Noma Kama Baba au Mama wa Kambo
U-turn signals za Rais wa kambo wa JMT zimesababisha mawimbi ya unafiki kutamalaki miongoni mwa viongozi wanaotokana na chama tawala (CCM)! U-turn signals alizotuma Rais wa kambo bila shaka zimekuwa encouragement kubwa sana kwa Speaker Ndugai, kwa mfano, kurudia dili lake la Bandari ya...www.jamiiforums.com
Ukipata nafasi naomba unisaidie kujijibuKwani ukifanya ugaidi siyo kosa kisheria?
Tuliza makalio utaona matokeo tu, maana nyie wengine mnajua kejeli na matusi tuBi tozo katumwa kazi gani na watanzania?
Sio kukata magogo tena,Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Argumentum ad hominem ! BasiYou are stupid! Basi
Ni mwehu tu ndio Anawaza hivyoChadema ni genge la wahuni wanaojiona wapo juu ya sheria
Ni kweli ndio alisabibisha kifo cha jiwe??Lissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Huyo ndio nguli wa sheria. Lissu sio Wakili wa michongoRais anatoa msamaha kwa wafungwa na mbowe sio mfungwa ndio jambo nalijiuliza inakuaje rais atakwe kutoa msamaha.
Akakimbia bwana. Aliyemkimbiza leo yuko mavumbini nani mjanja?? Lissu asingekimbia siku ile wote wangekuwa udongoni Yeye na JiweKama ni hivyo asingekimbia baada ya uchaguzi kwa kusindikizwa na mabalozi mpaka airport,angesubiri ili ashinde kimahakama kesi yake ya mchongo
Vipi jiwe na yeye alivokuwa anakosolewa na kufunga upinzani alikuwa na yeye mwanamke kwa kutokutaka kukosolewa?Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?
Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Aliyemuongelea mboye na Nani?Mh Mbowe ni mtuhumiwa tu, hajapatikana na hatia bado, Mh Rais kuendelea kuliongea ni sawa na kuifunga mahakama mikono katika kutenda Haki
Kusamehe unakuwa kidogo raisSasa kama maneno sio kitu, shida inakuja wapi Lisu akiongea?
Hivi ni mwanaccm gani alishawahi kuheshimu Katiba ya nchi, sheria, taratibu haki na utu kwamba inawapa haki kujiona wako clean? Uchaguzi uliibwa na viongozi wakuu kabisa wa ccm, watu kuuwawa, tume ya uchaguzi na vitendo vya ugaidi, mpaka mali za chama chao kuiba baada ya mali hizo kutuibia sisi watanzania bado mtu amtake Mbowe kuwa na heshima?? Kwa legitimacy na credibility ipi? Nashangaa mnoooAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
========
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewakumbusha viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia na kutii sheria ili kuepuka heshima zao kuondoka.
Rais Samia ameeleza hilo leo wakati akijibu ombi la Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe ambaye alimuomba awasaidie kumsamehe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe.
''Nataka nizungumzie kidogo aliloniomba mwanangu Zitto, kwamba yule mwenzetu msamehe basi aje awe na sisi. Demokrasia ni kuheshimu sheria, heshima ya mtu inakuja kwa kuheshimu sheria za nchi.,'' ameeleza Rais Samia Suluhu.
Ameendelea,’’Isingekuwa uvunjifu wa sheria leo isingemlazimu Zitto kuomba hapa kwamba yule mwenzetu muachie lakini unapovunja sheria unajivunjia heshima
“Naomba tufanye kazi kwa kuheshimu sheria, waswahili wanasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ingawa kusameheana nako kupo,” amesema Samia.
Aidha Rais Samia amesisitiza kuwa kuna taifa moja tu ambalo raia wote wanawajibika kulilinda.