Ikiwa Mbowe hana hiyo jinai na wahusika wanajua hilo lakini hawakiri ukweli ni bora aachwe muda utaongea kwani njia ya mwongo ni fupi. Unaombaje msamaha kwa kosa usilotenda?Hivi wanavyofanya sasa chadema inaweza sababisha Mh.Mbowe asiachiwe.
Ingewatosha kunyamaza watu ambao mwisho wao ni maneno tu hata kujaribu kuandamana kutetea mwenyekiti hawakuweza. They are very weak opposition. Lkn maneno yao utasema Duh kimewaka.
Wewe unaamini tuna mahakama? Hiyo unayoiita mahakama, ina tofauti gani na ofisi ya mkuu wa wilaya au mkoa?Nadhani wachangiaji wengi hawakuelewa kauli ya mama.........
Kufuata sheria ni pamoja na kuacha mhimili wa mahakama ifanye kazi yake.....
Mbowe ametuhumiwa kwa ugaidi na makosa mengine na kesi yake ipo mahakamani hivyo ni vyema Sheria ikaachwa ichukue mkondo......
Kumtaka rais aingilie uhuru wa mahakama kwa kumtoa Mbowe ni kudharau mhimili wa mahakama......
Macho na masikio yote ya wazalendo n wapenda demokrasia ni huko mahakamani.....huko ndiko tutashuhudia namna gani Mbowe ataidhalilisha serikali kama kweli tuhuma zake ni za kubambikia....
Lissu ni ShujaaView attachment 2045248
Habari ndio hiyo
Yaani mpaka najishangaa mimi kwamba hii ndio nchi ninayoishi kweliKwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Well said, Kina nanii wanvyo lalama apa utazani ni kwamba yeye hayupo kabisa chini ya Katiba ya Jamuhuri au yeye ni exceptional kiasi cha kuombewa msamaha kwa raisi wakati tayari swla liko mahakamani na mahakama haijatoa uamuzi.Mbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria
Ningependa kuongezea:Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Mimi ningependa Mbowe afungwe jela na kifungo chake ndicho kitapelekea Watanzania kwa wingi kukiondoa chama changu cha CCM madarakani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2025.
Huu ni mtizamo wangun
Umejisahaulisha kesi ya kifo Cha Akwilina eeeh!!!Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?
Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Ukiwa na akili ndogo Ni vigumu Sana kumuelewa lissu. Anajua madhara ya kuomba eti huruma ya rais kumtoa mbowe wakati mbowe Hana Hilo kosa. Lkn usipomuelewa lissu utabaki kumuona Ni mkorofi, Kumbe mwenzio anaona mbele zaidi.
Hakuna kitu hapo! Najua unataka kusema Lisu mjanja? Vip kwa waliokufa wote ni wajinga sie ni wajanja kisa tuko hai? Nyie CHADEMA ndo maana mnaitwa nyumbu na mataahira!Akakimbia bwana. Aliyemkimbiza leo yuko mavumbini nani mjanja?? Lissu asingekimbia siku ile wote wangekuwa udongoni Yeye na Jiwe
Mbowe asamehewe! Sabaya alipohukumiwa meno yote nje!Ni kuicha mahakama iwe huru basi...kwani nini shida ,Nyie ngojeni siku akisamehe wa upande wake mje mtupigie makelele humu...
Thubutuu kashanogewa na kula vibawa vya kuku huko haji ng'oArudi aje apambane na siasa za Tanzania.
Shujaa mafi aliyekimbia uwanja wa vitaLissu ni Shujaa
DaahView attachment 2045248
Habari ndio hiyo
Abedi Amani karume, Patrick Lumumba, Tom mboya, Samuel Doe, Alfonce Mawazo waliuawa na Mungu?Kifo huhusika Mungu tu bwana,
Usitutishe