Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais kasema '' Kama asingevunja sheria tungekuwa naye hapa''

Kauli hii inafanana na ile ya BBC kwa mantiki

Kwamba Rais anaongelea suala lililopo mahakamani. Pili Rais anamtuhumu Mbowe .
Akiwa mkuu wa nchi tayari ana influence maamuzi ya mahakama kwamba,Mbowe ana makosa . Ni Jaji gani Tanzania atakayekwenda kinyume na Rais?
Waliambiwa '' hukumu zenu zizingatie hali ya nchi''

Rais anasema ' kuna kusameheana''.
Kusamehe kunatokea penye kosa, tayari keshamtia Mbowe hatiani na anataka kumsamehe.

Nadhani anapoongea kwa hasira anasahau ni Rais na hivyo kueleza hisia zake na kusahau nafasi yake. Kauli zake za leo hazikumtendea haki Mbowe , zimeingilia mahakama.

Hivi kwanini Wasadizi wa Rais hawamshauri kuhusu masuala ya mahakamani?
Hivi CJ ana maoni gani kuhusu hili na kwamba ameshindwa hata kumnong'oneza

Alinda JokaKuu
 


Ukweli ni kwamba mikutano hainaga fujo ni watu wanajaribu kutafuta visingizio. Yaani Tanzania ukiandamana na mabango tayari hiyo ni fujo
 
Kinachotakiwa si ni upande ule kufanya mchakatoa wa kisheria na kusema hakuna nia ya kuendelea na hii k-e-s-i once and for all !!
 
..tatizo la Ssh ni kutaka wapinzani wamchukulie kama Mama mzazi.
Hili limekuwa ni tatizo sana. Ukisikiliza mikutano yake viongozi hawaelezi ukweli muda wote ni kumsifia. Nadhani angewaambia waache kumsifia wamwambie ukweli.

Kwa kiasi fulani Zitto amemwambia kitu asichoweza kusikia kwa wanaomzunguka
Zitto amesema '' Tumeparaganyika'', na huo ni ukweli na kwamba sisi si wamoja

Wasaidizi wake hawamwelezi ukweli kuwa kuna sehemu ya jamii ina grudge kubwa sana
Hawamwelezi ukweli kuwa wanaomsifia huenda ni sehemu ndogo tu ya wale wenye resentment

Huwezi ukawa na vibrant democracy ukitegemea Chadema, NCCR watazungumza lugha ya CCM
Lugha ya Wapinzani ni ya kukosoa na kuonyesha mbadala na hilo haliwezi kuwa zuri kama mtu ana ''think skin''
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Wewe hujui ugaidi ni kuvunja sheria? Wewe hujui kutoa mitusi ya nguoni siyo heshima?
 
Haiwezekani... Kama sasa yuko jela hakuna anayeandamana, akifungwa unadhani ndo itakuaje?
Ndiyo CHADEMA itakufa. Utulivu tunautaka na tumeupta baada ya yeye kwenda Lupango.
 
Kwa hiyo wewe una uhakika kuwa MBOWE alishiriki vitendo vya UGAIDI?
Mahakama ndiyo itaamuwa kama tuhuma ni za kweli au hapana. Hakuna aliyesema Mbowe yuko guilty. Hata SSH amesema hizo ni tuhuma, na tuhuma siyo lazima ziwe kweli. Ukweli utatolewa na mahakama.
 
Kuongelea na kutabiri umwagikaji damu kunaashiria uvunjivu wa sheria, na serkali haitaruhusu hicho kitu kitokee. Hili liliongelewa uchaguzi uliyopita. Zikapangwa mbinu za kufanya nchi isitwalike, ila wananchi waliona mbali na CHADEMA wakakosa mtu wa kufanya fujo kwa niaba ya viongozi wao. Kwa nini secretariati ya CHADEMA isiandame yenyewe kuliko kuwashawishi watu wasiotaka maandamana? Mnadai mna wanachama milllioni 8, mbona hawatoki kuandamana nanyi? Kazi kukaa nyuma ya keyboard mmeufyata huku mkihamasisha wengine waandamane huku familia zenu zimetulia ndani zikila pesa ya CHADEMA. Siku ya kuandamana tokeni na wake na watoto zenu. Mkifanya hivi watu wengine wataunga mkono. Lakini kukaa ndani mnawadanya wengine hamumpati hata muwandamaji mmoj.
 
Tumebaniwa sauti leo na kulegezewa macho, tanaombwa heshima, nani aheshimu kibibi cha kiarabu.
Acheni kutuchukulia poa.. tunapiga kweli kweli.
Heshima haina gharama. lakini nyie mnaona matusi ni mtaji.
 
Mbowe hana adabu wala heshima. Narudia Mbowe ni mpumbavu.
 
Haya madarak yanawafanya watu wanakuwa miungu watu wataka kuheshiniwa tu
 
Angeanza kwa kusema tujikosoe ili nchi ianze upya kwa ustawi wa demokrasia angeanza kutaja mapungufu ya serikali kuwa mstari wa mbele kuvunja Sheria moja kusigina sheria juu ya vyama vya siasa kufanya siasa kwa mujibu wa sheria,pili kusigina uchaguzi kuanzia 2019 2020 kwamba serilikali iliharibu uchaguzi mchana kweupe maana unapomnyooshea kidole kimoja mwenzako vitatu vinakunyooshea wewe.
 
Lakini pia tusitumie mahakama na polisi kukomoana kisiasa.
 
Mbowe hana adabu wala heshima. Narudia Mbowe ni mpumbavu.
Sasa kama mbowe angekuwa mpumbavu ccm ingemuogopa? Imeshindwa kupambana nae kwa hoja mpaka imeona msaada pekee ni polisi na mahakama we utakuwa umetoloka viunga vya milembe.
 
Tatizo kubwa la Zitto ni uongo na unafiki. Yeye tangu mwanzo alionekana na kufurahia kifo cha Dkt Magufuli, yaani alifikia mpaka hatua ya kuona Mama akiwa rais basi mambo yake yataenda. Zitto ni mnafiki kwa sababu tangu aondoke kile chama kilichokufa cha chadem huwa haungi mkono hoja bali ni mtu wa siasa maslahi kutegemea na mtu husika. In short Zitto si yule wa enzi zile ana bei zake alishanunuliwa na mabeberu so huwa wanamuamulisha aina za siasa anazotakiwa kufanya. Lissu alikiuka mabeberu wakampiga risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…