Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Lissu huwa hapindishi wala kumun’gunya maneno. Kwa hili nampa SaluteLissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu huwa hapindishi wala kumun’gunya maneno. Kwa hili nampa SaluteLissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Rais kasema '' Kama asingevunja sheria tungekuwa naye hapa''Nadhani wachangiaji wengi hawakuelewa kauli ya mama.........
Kufuata sheria ni pamoja na kuacha mhimili wa mahakama ifanye kazi yake.....
Mbowe ametuhumiwa kwa ugaidi na makosa mengine na kesi yake ipo mahakamani hivyo ni vyema Sheria ikaachwa ichukue mkondo......
Kumtaka rais aingilie uhuru wa mahakama kwa kumtoa Mbowe ni kudharau mhimili wa mahakama......
Macho na masikio yote ya wazalendo n wapenda demokrasia ni huko mahakamani.....huko ndiko tutashuhudia namna gani Mbowe ataidhalilisha serikali kama kweli tuhuma zake ni za kubambikia....
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
========
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewakumbusha viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia na kutii sheria ili kuepuka heshima zao kuondoka.
Rais Samia ameeleza hilo leo wakati akijibu ombi la Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe ambaye alimuomba awasaidie kumsamehe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe.
''Nataka nizungumzie kidogo aliloniomba mwanangu Zitto, kwamba yule mwenzetu msamehe basi aje awe na sisi. Demokrasia ni kuheshimu sheria, heshima ya mtu inakuja kwa kuheshimu sheria za nchi.,'' ameeleza Rais Samia Suluhu.
Ameendelea,’’Isingekuwa uvunjifu wa sheria leo isingemlazimu Zitto kuomba hapa kwamba yule mwenzetu muachie lakini unapovunja sheria unajivunjia heshima
“Naomba tufanye kazi kwa kuheshimu sheria, waswahili wanasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ingawa kusameheana nako kupo,” amesema Samia.
Aidha Rais Samia amesisitiza kuwa kuna taifa moja tu ambalo raia wote wanawajibika kulilinda.
Ukweli ni kwamba mikutano hainaga fujo ni watu wanajaribu kutafuta visingizio. Yaani Tanzania ukiandamana na mabango tayari hiyo ni fujo
Hili limekuwa ni tatizo sana. Ukisikiliza mikutano yake viongozi hawaelezi ukweli muda wote ni kumsifia. Nadhani angewaambia waache kumsifia wamwambie ukweli...tatizo la Ssh ni kutaka wapinzani wamchukulie kama Mama mzazi.
Wewe hujui ugaidi ni kuvunja sheria? Wewe hujui kutoa mitusi ya nguoni siyo heshima?Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Ndiyo CHADEMA itakufa. Utulivu tunautaka na tumeupta baada ya yeye kwenda Lupango.Haiwezekani... Kama sasa yuko jela hakuna anayeandamana, akifungwa unadhani ndo itakuaje?
Mahakama ndiyo itaamuwa kama tuhuma ni za kweli au hapana. Hakuna aliyesema Mbowe yuko guilty. Hata SSH amesema hizo ni tuhuma, na tuhuma siyo lazima ziwe kweli. Ukweli utatolewa na mahakama.Kwa hiyo wewe una uhakika kuwa MBOWE alishiriki vitendo vya UGAIDI?
Mr #dishlimetiltLissu always ndio uwa anafanya baadhi ya vitu viwe vigumu kwa sifa zake za kijinga!
Kuongelea na kutabiri umwagikaji damu kunaashiria uvunjivu wa sheria, na serkali haitaruhusu hicho kitu kitokee. Hili liliongelewa uchaguzi uliyopita. Zikapangwa mbinu za kufanya nchi isitwalike, ila wananchi waliona mbali na CHADEMA wakakosa mtu wa kufanya fujo kwa niaba ya viongozi wao. Kwa nini secretariati ya CHADEMA isiandame yenyewe kuliko kuwashawishi watu wasiotaka maandamana? Mnadai mna wanachama milllioni 8, mbona hawatoki kuandamana nanyi? Kazi kukaa nyuma ya keyboard mmeufyata huku mkihamasisha wengine waandamane huku familia zenu zimetulia ndani zikila pesa ya CHADEMA. Siku ya kuandamana tokeni na wake na watoto zenu. Mkifanya hivi watu wengine wataunga mkono. Lakini kukaa ndani mnawadanya wengine hamumpati hata muwandamaji mmoj.Mama uwezo n mdogo na hama kitu hapo Sasa afate sheria ipi Tena wakati mikitano ya kisiasa ni takwa la kisheria?pia katiba mpya ni takwa la Wananchi na sio la Mbowe,Kati yake na Mbowe nani anaeipenda Tanzania?Mbowe n mzalendo kwa Sababu kama mwaka2025 yakitokea ya mwaka Jana basi nchi itanwaga damu.Hicho ndo Mbowe hataki kitokee .Hii nchi sio ya Samia ni Nchi ya Watanzania wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima haina gharama. lakini nyie mnaona matusi ni mtaji.Tumebaniwa sauti leo na kulegezewa macho, tanaombwa heshima, nani aheshimu kibibi cha kiarabu.
Acheni kutuchukulia poa.. tunapiga kweli kweli.
Haya madarak yanawafanya watu wanakuwa miungu watu wataka kuheshiniwa tuAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa, Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
KWA UFUPI:
========
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewakumbusha viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia na kutii sheria ili kuepuka heshima zao kuondoka.
Rais Samia ameeleza hilo leo wakati akijibu ombi la Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe ambaye alimuomba awasaidie kumsamehe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe.
''Nataka nizungumzie kidogo aliloniomba mwanangu Zitto, kwamba yule mwenzetu msamehe basi aje awe na sisi. Demokrasia ni kuheshimu sheria, heshima ya mtu inakuja kwa kuheshimu sheria za nchi.,'' ameeleza Rais Samia Suluhu.
Ameendelea,’’Isingekuwa uvunjifu wa sheria leo isingemlazimu Zitto kuomba hapa kwamba yule mwenzetu muachie lakini unapovunja sheria unajivunjia heshima
“Naomba tufanye kazi kwa kuheshimu sheria, waswahili wanasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ingawa kusameheana nako kupo,” amesema Samia.
Aidha Rais Samia amesisitiza kuwa kuna taifa moja tu ambalo raia wote wanawajibika kulilinda.
Sukuma gang huyo stuka na wewe wanapigia humohumo!!Heshima haina gharama. lakini nyie mnaona matusi ni mtaji.
Lakini pia tusitumie mahakama na polisi kukomoana kisiasa.Angeanza kwa kusema tujikosoe ili nchi ianze upya kwa ustawi wa demokrasia angeanza kutaja mapungufu ya serikali kuwa mstari wa mbele kuvunja Sheria moja kusigina sheria juu ya vyama vya siasa kufanya siasa kwa mujibu wa sheria,pili kusigina uchaguzi kuanzia 2019 2020 kwamba serilikali iliharibu uchaguzi mchana kweupe maana unapomnyooshea kidole kimoja mwenzako vitatu vinakunyooshea wewe.
Sasa kama mbowe angekuwa mpumbavu ccm ingemuogopa? Imeshindwa kupambana nae kwa hoja mpaka imeona msaada pekee ni polisi na mahakama we utakuwa umetoloka viunga vya milembe.Mbowe hana adabu wala heshima. Narudia Mbowe ni mpumbavu.
Sasa asubiri misiba Mingi. Na Kama Mungu aishivyo ataaibika Kama alivyoaibika mtangulizi wakeMtaka nyingi nasaba huupata mwingi msiba.
Tatizo kubwa la Zitto ni uongo na unafiki. Yeye tangu mwanzo alionekana na kufurahia kifo cha Dkt Magufuli, yaani alifikia mpaka hatua ya kuona Mama akiwa rais basi mambo yake yataenda. Zitto ni mnafiki kwa sababu tangu aondoke kile chama kilichokufa cha chadem huwa haungi mkono hoja bali ni mtu wa siasa maslahi kutegemea na mtu husika. In short Zitto si yule wa enzi zile ana bei zake alishanunuliwa na mabeberu so huwa wanamuamulisha aina za siasa anazotakiwa kufanya. Lissu alikiuka mabeberu wakampiga risasiAkijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa, Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
KWA UFUPI:
========
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewakumbusha viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia na kutii sheria ili kuepuka heshima zao kuondoka.
Rais Samia ameeleza hilo leo wakati akijibu ombi la Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe ambaye alimuomba awasaidie kumsamehe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe.
''Nataka nizungumzie kidogo aliloniomba mwanangu Zitto, kwamba yule mwenzetu msamehe basi aje awe na sisi. Demokrasia ni kuheshimu sheria, heshima ya mtu inakuja kwa kuheshimu sheria za nchi.,'' ameeleza Rais Samia Suluhu.
Ameendelea,’’Isingekuwa uvunjifu wa sheria leo isingemlazimu Zitto kuomba hapa kwamba yule mwenzetu muachie lakini unapovunja sheria unajivunjia heshima
“Naomba tufanye kazi kwa kuheshimu sheria, waswahili wanasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ingawa kusameheana nako kupo,” amesema Samia.
Aidha Rais Samia amesisitiza kuwa kuna taifa moja tu ambalo raia wote wanawajibika kulilinda.
====
Zaidi soma;
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kusaidia kuachiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Zitto ambaye pia ni kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo ametoa ombi hilo leo wakati wa mkutano wa wadau wa kujadili hali ya demokrasia ya vyama vingi nchini.
Mbowe na wenzake watatu wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021 yenye mashtaka sita yakiwemo ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi, inayoendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Akizungumza kwa sauti ya upole Zitto amesema, “Sisi viongozi wa vyama tupo hapa na wengine hawapo kwa sababu zao lakini kuna mwenzetu hayupo hapa kwa sababu ya changamoto za kisheria.
Tuna utamaduni wa kumaliza haya mambo na haitakuwa mara ya kwanza, tunakuomba sana kwa mujibu wa sheria na kufuata taratibu tusaidie mwenzetu tuwe naye ili tuweze kufanya kazi kwa pamoja na kuunganisha nchi yetu, tufanye siasa za tija na maslahi kwa nchi yetu,”. Amesema Zitto nakuongeza
“Ni dhahiri kuna changamoto za hapa na pale na wewe ndio Rais wetu, tunakuomba sana kama ambavyo uliahidi katika hotuba yako ya kwanza wakati unazindua Bunge.
“Utuunganishe, tumepalanganyika, uliweke taifa pamoja na nina amini una uwezo wa kuliweka taifa pamoja na utaliweka taifa pamoja tunakuomba sana mama,”
Kuhusu mkutano huo wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini, Zitto amesema ni hatua kubwa katika kuelekea kuwa na majadiliano ya kisiasa.
“Sisi tunachukulia kuwa hii ni hatua muhimu katika kuelekea kuwa na majadiliano ya kisiasa katika nchi yetu, huu ni mwanzo mwema.
“Kila jambo lina mwanzo na huu ni mwanzo mwema, ninaamini Mungu atatuongoza kuwa na utaratibu wa kujadiliana na kutatua changamoto zetu kwa majadiliano,” amesema Zitto.
====
Pia soma;
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amevunja ukimya kuhusu kinachomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akisema kuwa demokrasia ni kuheshimu sheria.
Akizungumza leo Jumanne Desemba 15, 2021 wakati akifungua mkutano wa wadau kujadili demokrasia ya vyama vingi, Rais Samia amesema ni muhimu kuzingatia sheria za nchi.
Mkuu huyo wa nchi ameyasema hayo akijibu ombi la Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe aliyemuomba kusaida kuachiwa kwa Mbowe ambaye pamoja na wenzake watatu wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021 yenye mashtaka sita yakiwemo ya kula njama na kufadhili vitendo vya kigaidi, inayoendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Rais Samia amesema, “Nataka nijibu lile ombi la mwanangu, iko hivi demokrasia ni kuheshimu sheria, unapoheshimu sheria ndipo demokrasia inapokua, lakini pia ndipo inapoleta heshima.
“Heshima ya mtu inakuja unapoheshimu sheria za nchi, unapovunja sheria za nchi heshima yako haitaheshimiwa, Serikali haitakuheshimu lakini lazima ujue kwamba unapotumia uhuru wako mwisho wa uhuru wako inaanza heshima ya mtu mwingine,”.
Ameendelea,’’Isingekuwa uvunjifu wa sheria leo isingemlazimu Zitto kuomba hapa kwamba yule mwenzetu muachie lakini unapovunja sheria unajivunjia heshima
“Naomba tufanye kazi kwa kuheshimu sheria, waswahili wanasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ingawa kusameheana nako kupo,” amesema Samia.
Chanzo cha cha habari ni Gazeti la Mwananchi