Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?

Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!

Umeongea pumba na mfumo wako dume
 
Mmeanza kutoa MAPOVU wakati bado tumo kwenye "kesi ndogo ndani ya kesi kubwa"! Ikiaanza hiyo kesi kubwa sijui itakuwaje!?
 
Kwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Kuna kitu mbowe wamepishana na Samia.
Kila kiongozi akiingia madarakani Kuna watu lazma atawanyoosha.
Mimi nakumbuka magufuli na manji.
Kikwete na Babu seya.
Kiufupi hyo kesi wametengeneza na wanaweza kumfunga.maana wamedhamiria
 
Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?

Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Uko gizani.....
Umechelewa mno.......

Tuondolee uchizi wako wa MFUMO DUME......
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
kwani ugaidi siyo kuvunja sheria we kiazi nini?
 
Kwa tukio la Leo limemkumbusha
Wewe usiye sahau MKUMBUSHE!

Ikiwa Mbowe hana heshima basi ni wazi Tundu Lissu hastahili hata kuishi!!!
Mama asaidiwe clip za kina Kheri james et al halafu amuogope Mungu kwa dhati yakumuogopa Mungu!!

CCM ubora wao ni unafiki na huyu mama kwa maneno yake la Leo hamna mtu kabisa
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Labda alimtongoza akakataliwa,jamaa akapakaza shit.
Hauwezi jua
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.

Kufuata sheria ni neno pana sana kama ilivyo kuwa na heshma

Wenye masikio wamesikia na wenye akili wameelewa
 
Kuna kitu mbowe wamepishana na Samia.
Kila kiongozi akiingia madarakani Kuna watu lazma atawanyoosha.
Mimi nakumbuka magufuli na manji.
Kikwete na Babu seya.
Kiufupi hyo kesi wametengeneza na wanaweza kumfunga.maana wamedhamiria
Maushungi hataki kupandwa kichwani kwa maneno ake ya Leo

Hakuna cha ugomvi zaidi shida ni msimamo wa dai la katiba mpya
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Mkuu umemaliza yoteee??kumbe mtu waweza kufungwa kwa kukosa heshima aiseee!! basi sawa safari bado ni ndefu sana.
 
Kwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Wamezoea kunyeyekewa hawa watu .... wanajiona ni Miungu Watu .... Precedence aliyotuachia Magufuli itatutesa sana kwa muda mrefu. Maza anaitumia kisawasawa kuhakikisha kuwa hawamuondoi kenye kiti mpaka 2030 ..... !!
 
Kufuata sheria ni neno pana sana kama ilivyo kuwa na heshma

Wenye masikio wamesikia na wenye akili wameelewa
Sawa, Tulia , Baba D anahitaji msosi muda. Ndyo huu, usijepigwa bure shauli yako!
 
Mbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria
kwa hiyo tunakubaliana kuwa sheria zetu ni dhaifu.
 
Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....

Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......

#Siempre JMT
MATAGA uko busy kupiga porojo na MCT hujafanya renewal ya leseni?
 
Back
Top Bottom