mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kuna siku niliuliza humu mbowe amemfanya nini Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?
Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Hakika.....Alikuwa hahutubii watoto pale...
Mmeanza kutoa MAPOVU wakati bado tumo kwenye "kesi ndogo ndani ya kesi kubwa"! Ikiaanza hiyo kesi kubwa sijui itakuwaje!?Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?
Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
Kuna kitu mbowe wamepishana na Samia.Kwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Uko gizani.....Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?
Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
kwani ugaidi siyo kuvunja sheria we kiazi nini?Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Wewe usiye sahau MKUMBUSHE!
Ikiwa Mbowe hana heshima basi ni wazi Tundu Lissu hastahili hata kuishi!!!
Mama asaidiwe clip za kina Kheri james et al halafu amuogope Mungu kwa dhati yakumuogopa Mungu!!
Labda alimtongoza akakataliwa,jamaa akapakaza shit.Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
hapa ndipo kufuata sheria Mh. Rais ?? Tume yako ilifuata sheria ??
Maushungi hataki kupandwa kichwani kwa maneno ake ya LeoKuna kitu mbowe wamepishana na Samia.
Kila kiongozi akiingia madarakani Kuna watu lazma atawanyoosha.
Mimi nakumbuka magufuli na manji.
Kikwete na Babu seya.
Kiufupi hyo kesi wametengeneza na wanaweza kumfunga.maana wamedhamiria
Mkuu umemaliza yoteee??kumbe mtu waweza kufungwa kwa kukosa heshima aiseee!! basi sawa safari bado ni ndefu sana.Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Wamezoea kunyeyekewa hawa watu .... wanajiona ni Miungu Watu .... Precedence aliyotuachia Magufuli itatutesa sana kwa muda mrefu. Maza anaitumia kisawasawa kuhakikisha kuwa hawamuondoi kenye kiti mpaka 2030 ..... !!Kwanza afuate sheria
Pili awe na heshima
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Sawa, Tulia , Baba D anahitaji msosi muda. Ndyo huu, usijepigwa bure shauli yako!Kufuata sheria ni neno pana sana kama ilivyo kuwa na heshma
Wenye masikio wamesikia na wenye akili wameelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda alimtongoza akakataliwa,jamaa akapakaza shit.
Hauwezi jua
kwa hiyo tunakubaliana kuwa sheria zetu ni dhaifu.Mbowe hayupo juu ya sheria, ameshtakiwa kisheria atahukumiwa kwa sheria na kama akishinda ni kwa sheria. Sio kwamba akishinda alikuwa kaonewa ni kwa sababu ametumia udhaifu wa sheria
MATAGA uko busy kupiga porojo na MCT hujafanya renewal ya leseni?Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....
Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......
#Siempre JMT