Sasa currency yetu si ni shilingi ya Tanzania? Au tutaje kwa dinari ili kupunguza makali? 😃😃😃"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Duuu!!! Kambale unajua kama polisi wapo doria?Afafanue vizur, inaashiria mtikisiko wa shilingi sio uchumi kidunia.
Asitufanye sisi kama matako yake.
Duh inapidi kuwepo na chuo cha kukuza uelewa na namna sahihi ya kupambanua mambo"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Aisee kumbe sio nyingi bwana! Tubilioni 39 tu!!USD 39.5bil
Sawa lakini sio kwa samiaOktoba tunatiki