Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

Umenikumbusha kuna mtihani, A level somo la physics tulifeli sana, tukawa tunaitwa mmoja mmoja ofisini kujieleza kwanini umefeli, sasa rafiki yangu mmoja akaitwa akaulizwa umepata ngapi akajibu. ELEVEN, si wakawamlazimisha aitaje alama aliyopata kwa kiswahili😁
 
Si tulikubaliana kuwa uchumi wetu unakuwa kwa kasi kuliko nchi za ulaya,mm sio mbobezi katika masuala ya uchumi lakini kwa uelewa wanhu mdogo najua moja ya vigezo au viashiria vya ukuaji wa uchumi ni pamoja na kuongezeka kwa thamani ya shilingi katika soko la kuuza na kununua shilingi ya nchi yako.wataalam mtuambie kitaalam hii ina mana gani,na tunapolipa hili drni tutachukua tsh tukazibadili ndio tulipe kwa maana hiyo deni letu ni hizo trion 107 .
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ basi tutaje in Kenya shillings.
 
Hiyo shilingi aliye iporosha nani

?
 
Ss mtu hotuba anaandaliwa na yule Wazir Salum kuna nn hapo
 
Hivi CCM kwanini wasichukue hatua na kumbadili mgombea angalau wapate kaheshima kalichobaki?Huyu mama kiiila kona ya mtandao napata matusi ni kwamba hamyaoni au?embu mpumzishen mumtunzie heshima mama wa watu!
Na alivokua anaizungusha hio shingo sasa jana! jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…