Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

Hii nayo kali ya kufungia bunge!

Shillingi ya Baba ndiyo imeporomoka asingizie uchumi wa kidunia!

Mbona deni likitajwa kwa sarafu za hao tuliowazidi uchumi linakuwa pesa ndogo tu?
 
Samia aondoke madarakani, huyo siyo rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…