Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mtaenda msiokuwa na nchi. Sisi Watanganyika, tukitoka nchini mwetu tunaenda nje kutembea tu, lakini hapa ni kwetu. Hakuna wa kututoa.Hamieni Bujumbura
Shenzi siyo tusiKutukani huashiria upungufu wa akili, ndiyo maana hata wale punguani wanaookota makopo japo hawana uwezo wa kujenga hoja, wengi wao wanaweza kutukana.
Huyu mama kuna jambo analificha ile mikataba aliyosaini utadhani anauza nguo zake kalikosea sana taifa huyu mzanzibar.Hakuna kazi hata moja iliyowahi kukosa changamoto. Iwe ni Urais, Uwalimu, Udaktari, Ukulima, Biashara na Uwekezaji, Udereva, Uhandisi, Uchungaji au Ushekhe, Uwanafunzi, au nyingine yoyote, isiyo na changamoto, japo uwingi na uzito wa changamoto hutofautiana.
Na wanaofanikiwa, siyo watu wanaokosa changamoto, bali ni watu wenye kutafuta majibu sahihi ya changamoto zinazowakumba.
Kinachowatofautisha wanaofanikiwa na wanaoanguka, ni uwezo wa kutafuta majibu ya changamoto, zinapojitokeza. Kwenye utatuzi wa changamoto, kuna makundi matatu:
1) Wapo ambao wakipata tu changamoto, hawatafuti majibu ya changamoto, hunyosha mikono na huishia hapo hapo. Hawa huwa wafu wa mafanikio.
2) Wapo wanaotafuta suluhu za mkato, wakakosa hekima, maarifa, ujuzi na tafakari, huishia kutafuta suluhu za changamoto ambazo huleta madhara mabaya zaidi hata kuzidi changamoto walizotaka kuzitatua.
3) Wapo wanaotafuta suluhisho la changamoto zinazowakumba, hutafuta suluhisho sahihi, huzivuka changamoto, na huibuka wakiwa washindi. Hawa ndio watu wenye mafanikio siku zote.
Bahati Mbaya, Rais wetu Samia Suluhu Hassan, anaangukia kwenye kundi ka pili. Yaani mtu anayetafuta suluhisho la matatizo kwa kuzalisha matatizo makubwa zaidi maradufu ya tatizo analotaka kulitatua. Amekuwa kama dereva wa lorry lililobeba shehena kubwa ya mzigo wenye thamani kubwa, linalopanda mlima wenye utelezi ambao upande mmoja wa barabara ni mlima mrefu, na upande wa pili ni gema refu kuelekea korongoni (sawa na yale makorongo ya milima ya Lukumburu, kama unaelekea Songea). Mlima una utelezi, dereva anawaomba watu walisukumie lorry kwenye korongo refu ili kuukwepa utelezi. Na kwa kufanya hivyo anaamini ametatua tatulizo la kuupanda mlima wenye utelezi, asijue kuwa kwa kusukumia lorry korongoni, ameliua lorry, ameteketeza shehena yenye thamani, na lorry halitaweza kuendelea na safari.
Kuna tatizo kubwa kwenye mkataba wa bandari wa DP, ambalo ni uhovyo na ushenzi wa mkataba. Rais Samia haumizwi na ubovu wa mkataba, anaumizwa na sauti za wanaolalamikia uhovyo wa mkataba. Hahangaiki na kutatua uhovyo wa mkataba, bali anahangaika kuzima sauti za wanaolalamikia mkataba wa hovyo. Kwake kuwakamata Dr. Slaa, Mwambukusi na Mdude na kuwabambikia kesi za uhaini anaona ametatua tatizo la kusikia kelele zinazokosoa uhovyo wa mkataba. Hajui wala hatambui kuwa kwa kufanya hivyo anatengeneza matatizo makubwa zaidi dhidi yake na Serikali yaje kuliko hata uhovyo wa mkataba. Sasa afahamu kuwa:
1. Kelele dhidi ya mkataba wa kishenzi wa DP, zitaongezeka kutoka ndani ya nchi.
2) Kelele dhidi ya udikteta wa utawala wake zimeanza kutoka ndani ya nchi na jamii ya kimataifa. Tayari Amnesty International wamelaani maamuzi yake, Human Rights Watch wamepaza sauti dhidi ya utawala wake. Siku si nyingi kutakuwa na kauli toka Jumuiya ya Ulaya na Marekani.
3) Taasisi zote ambazo hutoa misaada na mikopo kwa sharti nchi iwe na mfumo wa utawala unaoheshima demokrasia, uhuru wa maoni na haki za binadamu, hazitatoa msaada wala mkopo kwa Serikali ya Samia. Ni suala la wakati tu.
4) Hata ambao hawakuwahi kujua uhovyo wa mkataba wa DP, watafahamu sasa kutokana na hizo kesi za kubambikia watu, na matamko ya taasisi za jamii ya kimataifa.
5. Uchumi ambao tayari ni legelege utalegea zaidi kwa sababu hakuna mwekezaji makini anayeweza kwenda kuwekeza mahali ambapo unaweza kubambikiwa kesi na Serikali wakati wowote.
Rais Samia badala ya kutafuta msaada wa kusukuma gari liupite utelezi, ametafuta watu wa kumsaidia kulisukumiza lorry korongoni.
Huna adabu wala hujitambui wewe. Umekosa malezi bora ya wazazi wako ndio maana unaandika kwa kuropoka tu.Tunajuta kuwa na rais form four failure
Ulivyo mjinga unaandika tu halafu huna uhakika juu ya jambo unalolizungumziaHuyu mama kuna jambo analificha ile mikataba aliyosaini utadhani anauza nguo zake kalikosea sana taifa huyu mzanzibar.
Watanzania wana imani kubwa sana na mh Rais wetu mpendwa mama samia,wana matarajio makubwa sana kutoka kwake na wanaamini Rasilimali zetu ni salama mikononi mwake.ndio maana ukipita mitaani unaona namna kulivyo Tamalaki kwa amani na utulivu.ndio maana unaona watanzania wamefurahishwa sana na uamuzi na hatua ya jeshi la polisi kuwazoa wachochezi na wahamasisha vurugu na machafuko hapa nchiniNaunga mkono hoja! Kama ameshauriwa hili hakika walimshauri hawamtakii mema wala hawamtakii safari njema ya siasa za hapa nchini.
Sio ajabu safari yake ikaishia hapa, very sad!
Chizi wewe Kasheku na Taletale ni Madaktari.sio kweli!
ndo angepewa u-Dr?
Sikiliza wewe uliyekosa adabu na akili.kwa Taarifa yako ni kuwa Rais samia ndiye Rais bora kabisa tuliye naye kwa sasa katika Bara hili la Afrika kwa sasa ni kiongozi wa mfano na kuigwa ,ni kiongozi anayeishi mbele ya wakati na mwenye maono ya mbali. Ni kwa ushujaa wake na upeo wake mkubwa wa kimaono na kiuongozi ndiyo maana ametuvusha kama Taifa katika nyakati zote ngumu ambazo Dunia imezipitia na kutetemeshwa ,lakini Rais samia alisimama imara na kutuvushaRais wa hovyo kuwahi kutokea sio Afrika tu huenda dunia nzima.
Umenikumbusha kipindi nasomea udereva mwalimu wetu alitufundisha namna ya kulisaidia gari likianguka.Hakuna kazi hata moja iliyowahi kukosa changamoto. Iwe ni Urais, Uwalimu, Udaktari, Ukulima, Biashara na Uwekezaji, Udereva, Uhandisi, Uchungaji au Ushekhe, Uwanafunzi, au nyingine yoyote, isiyo na changamoto, japo uwingi na uzito wa changamoto hutofautiana.
Na wanaofanikiwa, siyo watu wanaokosa changamoto, bali ni watu wenye kutafuta majibu sahihi ya changamoto zinazowakumba.
Kinachowatofautisha wanaofanikiwa na wanaoanguka, ni uwezo wa kutafuta majibu ya changamoto, zinapojitokeza. Kwenye utatuzi wa changamoto, kuna makundi matatu:
1) Wapo ambao wakipata tu changamoto, hawatafuti majibu ya changamoto, hunyosha mikono na huishia hapo hapo. Hawa huwa wafu wa mafanikio.
2) Wapo wanaotafuta suluhu za mkato, wakakosa hekima, maarifa, ujuzi na tafakari, huishia kutafuta suluhu za changamoto ambazo huleta madhara mabaya zaidi hata kuzidi changamoto walizotaka kuzitatua.
3) Wapo wanaotafuta suluhisho la changamoto zinazowakumba, hutafuta suluhisho sahihi, huzivuka changamoto, na huibuka wakiwa washindi. Hawa ndio watu wenye mafanikio siku zote.
Bahati Mbaya, Rais wetu Samia Suluhu Hassan, anaangukia kwenye kundi ka pili. Yaani mtu anayetafuta suluhisho la matatizo kwa kuzalisha matatizo makubwa zaidi maradufu ya tatizo analotaka kulitatua. Amekuwa kama dereva wa lorry lililobeba shehena kubwa ya mzigo wenye thamani kubwa, linalopanda mlima wenye utelezi ambao upande mmoja wa barabara ni mlima mrefu, na upande wa pili ni gema refu kuelekea korongoni (sawa na yale makorongo ya milima ya Lukumburu, kama unaelekea Songea). Mlima una utelezi, dereva anawaomba watu walisukumie lorry kwenye korongo refu ili kuukwepa utelezi. Na kwa kufanya hivyo anaamini ametatua tatulizo la kuupanda mlima wenye utelezi, asijue kuwa kwa kusukumia lorry korongoni, ameliua lorry, ameteketeza shehena yenye thamani, na lorry halitaweza kuendelea na safari.
Kuna tatizo kubwa kwenye mkataba wa bandari wa DP, ambalo ni uhovyo na ushenzi wa mkataba. Rais Samia haumizwi na ubovu wa mkataba, anaumizwa na sauti za wanaolalamikia uhovyo wa mkataba. Hahangaiki na kutatua uhovyo wa mkataba, bali anahangaika kuzima sauti za wanaolalamikia mkataba wa hovyo. Kwake kuwakamata Dr. Slaa, Mwambukusi na Mdude na kuwabambikia kesi za uhaini anaona ametatua tatizo la kusikia kelele zinazokosoa uhovyo wa mkataba. Hajui wala hatambui kuwa kwa kufanya hivyo anatengeneza matatizo makubwa zaidi dhidi yake na Serikali yaje kuliko hata uhovyo wa mkataba. Sasa afahamu kuwa:
1. Kelele dhidi ya mkataba wa kishenzi wa DP, zitaongezeka kutoka ndani ya nchi.
2) Kelele dhidi ya udikteta wa utawala wake zimeanza kutoka ndani ya nchi na jamii ya kimataifa. Tayari Amnesty International wamelaani maamuzi yake, Human Rights Watch wamepaza sauti dhidi ya utawala wake. Siku si nyingi kutakuwa na kauli toka Jumuiya ya Ulaya na Marekani.
3) Taasisi zote ambazo hutoa misaada na mikopo kwa sharti nchi iwe na mfumo wa utawala unaoheshima demokrasia, uhuru wa maoni na haki za binadamu, hazitatoa msaada wala mkopo kwa Serikali ya Samia. Ni suala la wakati tu.
4) Hata ambao hawakuwahi kujua uhovyo wa mkataba wa DP, watafahamu sasa kutokana na hizo kesi za kubambikia watu, na matamko ya taasisi za jamii ya kimataifa.
5. Uchumi ambao tayari ni legelege utalegea zaidi kwa sababu hakuna mwekezaji makini anayeweza kwenda kuwekeza mahali ambapo unaweza kubambikiwa kesi na Serikali wakati wowote.
Rais Samia badala ya kutafuta msaada wa kusukuma gari liupite utelezi, ametafuta watu wa kumsaidia kulisukumiza lorry korongoni.
Kundi linalomshauri vibaya linajulikana, ni lile linalochochea mauaji ya kimbari kwa kuchochea ghasia, kuhamasisha lila aina ya vurugu kwa kuwa tu wametolewa kwmy ulajiNaunga mkono hoja yako, Binafsi najiuliza hivyo huyu ndiye yule yule Samia aliyeanzisha mahusiano mema na kutatua changamoto kadhaa ktk kuleta demokrasia? Bila shaka kuna kundi linalomshauri vibaya wakiwa na dhamira yao makhususi.
Rais samia ndio chaguo la mamilioni ya watanzania,ndio kiu ya watanzania,ndio hitaji la wengi katika kutuongoza na kutufikisha mpaka 2030.kinachosubiliwa kwa sasa ni kumuapisha tu kwa ajili ya muhula wa pili maana kwa sasa hana mpinzani wala mwenye ubavu wa kushindana naye katika sanduku la kura.Kuna watu inaonekana wamedhamiria sana kuhakikisha Samia anakuwa Rais wa nusu mhula tu. Na hao wamekazana sana kuhakikisha kila siku idadi ya wanaomchukia Rais inaongezeka.
Hilo jina !!!!!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Mwaka huu mtajamba sana mana wizi wenu bandarini unaelekea mwishoTunajuta kuwa na rais form four failure
Kwani Dr. Kasheku a.k.a King Musukuma mjumbe amaalum ambae aliongoza wajumbe kwenye mkataba wa bandari huko Dubai mbona nae ni lasaba failure?sio kweli!
ndo angepewa u-Dr?
Nimecheka sana.Wewe punguani, endelea kujidanganya. Kichaa anaweza kunyanyua fimbo akamtisha mtu mwenye akili timamu, na mwenye akili timamu akakimbia, lakini haimaanishi kuwa kichaa kashinda.