Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

Huu upumbavu aliuanzisha Jiwe.
Wakati wanatenga hizo fedha walikuwa wamepungukiwa akili(vichaa)?
Ni vyema wangeifuta sherehe yenyewe isisomeke kwenye kalenda
Si bado unasoma...!? Ukielimika itakusaidia kuelewa Kwa upana Matumizi mazuri ya pesa Hizi Kati ya kuzitumbua na kuboresha huduma ya Afya!!
 
Kwani huo muungano ni wa nchi gani na nchi gani, na kama sherehe zingefanyika ni viongozi wa nchi zipi wangehudhuria?

Jaribu kutofautisha siku ya muungano na siku ya uhuru, hizi ni siku mbili tofauti na ni lazima nchi zinazounda muungano zifaidhi matunda ya muungano wao. Punguza makasiriko, muungano ni wetu sote Bara na Visiwani.
 
Tulijua tu kwa kuapishwa mama samia kuwa Rais wa JMT wenye chuki na maendeleo ya Zanzibar watanyoosha vidole tu, hawa ndio wanafiki ambao siku zote huitazama Zanzibar kwa udogo wake lakini siku zote hawako tayari kuiacha Zanzibar isimame kwa miguu yake pamoja na kwamba Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar kwa hiyari zake.
Unaposema Tanganyika iliungana na nchi ya zanzibar kwa hiari yake Je nchi ya zanzibar haikuungana na nchi ya tanganyika kwa hiari yake? Unapojibu weka unafiki pembeni.
 
Mbona wengine hazijatufikia ama ndo mgao umeisha juu kwa juu[emoji2957]
 
Huu upumbavu aliuanzisha Jiwe.
Wakati wanatenga hizo fedha walikuwa wamepungukiwa akili(vichaa)?
Ni vyema wangeifuta sherehe yenyewe isisomeke kwenye kalenda

Hivi umeshindwa kuandika bila kutukana kweli?

Mkuu Yaani unagombana na keyboard. Jifunze kufikisha ujumbe bila jazba! Kulikuwa hakuna haja ya kutumia maneno uliyotumia.

Nikutakie sikukuu njema ya Muungano wetu adhimu.
 
Mama kaanza vizuri; baadhi ya mambo yaliyofanya JPM awe kwenye mioyo ya watu ni maamuzi kama haya.
Sherehe za Uhuru na Muungano ni sherehe muhimu sana katika historia ya nchi yetu, na ni muhimu zitengewe budget.
Lakini matumizi ya hizo pesa inabidi yafanye kitu cha maana kitakachosaidia watu wengi badala ya kuliwa na wale wajanja wajanja wa mujini kwa kukodi vihema, vicocktail, kuweka mafuta mashangingi, n.k.
asiishia hapo tu, tunataka kujua hizo pesa zimefanya shughuli gani, kipindi cha jpm tumeona hosptali ya ya uhuru dodoma, barabara za morocco- mwenge etc. samia amefeli kusema zikafanye shughuli zingine. ingekuwa jjpm angeshazialocate kabisa hizo hela zikafanye nini.
 
Back
Top Bottom