Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

oohh vizur, hiv makusanyo ya kodi kutoka zanzibar yanaingia kwenye muungano?
Ndio vipo vinavyoingia kwenye muungano ujui kuwa TRA ni kwa Tanzania nzima, hata kule Zanzibar wana ofisi mlandege pale
 
Accountya pamoja ya fedha za Muungano ifunguliwe haraka, kisha iwepo ya Bara kisha ya Visiwani
Ile ya bara iwe chini ya Makamu wa raisi kwa sasa na ile ya Zanzibar iwe chini ya Raisi wa Zanzibar na ile ya amoja iwe chini ya raisi wa Muungano.

Pale Raisi wa muungano atakapotoka bara na makamo kuwa Mzanzibari itabidi awashikie matumizi yaowa bara, ili yule wa muungano asishughulishwe na masuala yasiokuwa ya Muungano basi Waziri mkuu atamsaidia kusimamia Fedha za Bara
 
Halafu jaribu kutumia lugha ya kistaarabu kuwaita watu vichogo maana yake nini.? Nadhani hata mimi nikikuita kwa lugha ya kukukashifu hautafurahia .mna tabia ya kujiona wastaarabu kumbe ushuzi mtupu.
Kuota vichogo ndio maumbile yenu, huwezi kataa., sorry lakin
 
Labda niulize kuwa pesa za gharama za Muungano huwa zinatoka wapi au kwa utaratibu gani.

Pili, je Zanzibar kuna pesa ambayo wanachangia kwenye Muungano kusema sasa warudishiwe sehemu?.....
Chato ilikua inachangia ktk pato la Taifa ?
 
Hoja yangu siyo 50/50 hilo wala sina shida nalo. Hujanijibu swali langu huu muungano mumelazimishwa? Na kama mnaona huu muungano si wa Haki mnashindwa nini kama serikali na wananchi kuanzisha petition ya kujiondoa kama ilivyofanyika kwa Brexit? Nachelea kusema wazanzibari wengi wenu unafiki umewajaa mnaposhindwa kutatua changamoto zenu lawama zote kwa serikali ya Tanganyika.
Brexit ya nini mkuu fuatilia kifo cha sheikh Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Zanzibar kwanini alipigwa risasi, mchonga meno alitumia ujanja kumshawishi karume aungane na Tanganyika, baada ya kuungana akamwambia Zanzibar ni ndogo ngoja nikupe jeshi liwe linakulindeni mana kwa vile mumepata huru juzi juz mnaweza kuvamiwa sasa kuanzia dakika hiyo Tanganyika haijaiachia tena Zanzibar na karume alipoanza kujaribu kudai haki za Zanzibar kwenye muungano ndio kikatokea kilichotokea sasa wewe ni mchanga sana kwenye historia ya haya mambo ndio mana kizazi cha nyerere nyote munalishwa matango pori kuhusu muungano na nyinyi hamufunui akili zenu hardheaded"
 
Dodoma!

Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili (Tanganyika na Zanzibar) ili zikafanye shughuli za maendeleo!

Dk. Philip Mpango ametumia takribani dakika 20 kuhutubia wanakongamano na Kisha kuondoka ili aendelee na shughuli zake za Kila siku za kulijenga taifa!

View attachment 1764536
TAREHE 26 Aprili, 1964 Mataifa mawili haya ya Jamuhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu wa Zanzibar yalioungana na kuunda Taifa jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo badae ikabadilishwa na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo kila mwaka ifikapo Aprili 26, tunakumbuka siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo mwaka huu Muungano huu unatimiza miaka 57, huku ukiwa ni Muungano wa mfano na imara katika Bara la Afrika na ulimwenguni pote.
View attachment 1764577
Hiyo bajeti imetoka mfuko upi?wa Tanganyika,au Muungano?maana kama ni pesa za kodi za Tanganyika,harafu ziperekwe Zenj?hii sio Sawa.
Kama tumechangia Sawa hizo pesa,tugawane Sawa tu,lakini kama asilimia 100,ni kodi kutoka bara,harafu ziperekwe Zenj,hii sio Sawa,Mama anaanza kuzingua.
 
Brexit ya nini mkuu fuatilia kifo cha sheikh Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Zanzibar kwanini alipigwa risasi, mchonga meno alitumia ujanja kumshawishi karume aungane na Tanganyika...
Sasa kama ndivyo ilivofanyika hivi sasa mnashindwa nini kurekebisha si mnajitambuwa kwa sasa? Tuseme wakati huo mlidanganywa kutokana na ujinga.
 
Mgao wa fedha kwa ajili ya Zanzibar tunajua zitaenda wapi... Je, mgawo wa fedha za Tanganyika zitaendelea kuingizwa kwenye accounts za ccm??
 
Mimi sipendi kujibu matusi., Lakini kama Zanzibar ni mashoga na wapumbavu mgevunja muungano mukaachana nao kwanini munawangangania? Lukuvi alisema Zanzibar hatuwezi kuwaachia ata siku 1 wajitawale kwanini sasa na wazanzibari ni watu wajinga?

Hao majeshi wazanzibari ambao wako huko siku zote ndio munawapeleka kama wahanga vitani vichogo hawaendi ikitokea majeshi ya Tanzania wamekufa idadi ya Wazanzibari ni wengi kuliko vichogo.

Wewe huna ubavu wowote ata meko aliwachukia sana Uamsho lakini Mungu ni mkubwa yeye ndio amekwenda zake Uamsho wapo, chuki zako ni kama mwanamke tu na usishangae wakatoka karibuni chini mama Samia Suluhu Hassan., Nyinyi wauza nyungo na dawa za panya bila ya Zanzibar hamna ubavu ndio mana mnaitegemea Zanzibar siku zote.

Zanzibar wanakusanya kodi mara mbili ZRB kwa maendeleo ya Zanzibar lakini TRA inakusanya kodi kwa ajili ya maendeleo yenu Tanganyika tu, wala Tanganyika hakuna kodi kwa ajili ya Zanzibar., ndio mana sasa mnakuwa na kiburi, mkivunja muungaano hamtakuwa na uwezo kuendesha nchi yenu ya Tanganyika, shwain..,
 
TRA na ZRA wanafanyakazi pamoja au kila mmoja na upande wake?
 
Labda niulize kuwa pesa za gharama za Muungano huwa zinatoka wapi au kwa utaratibu gani.

Pili, je Zanzibar kuna pesa ambayo wanachangia kwenye Muungano kusema sasa warudishiwe sehemu?..
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787]kwenye tende na urojo. Punguza hasira sheikh wangu.
 
Back
Top Bottom