Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mliyokuwa mnayafanya hapo Chato ilikuwa sawa?Akili za Kienyeji sana hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliyokuwa mnayafanya hapo Chato ilikuwa sawa?Akili za Kienyeji sana hizi.
Kwanini jamaa aliitwa mchonga meno? Nataka kujua asili ya hilo jina mkuu tafadhali!Kwanini Tanganyika pamoja na udogo wa Zanzibar lakini ilikubali kuungana?? Kwanini mchonga meno hakuiunganisha Tanganyika na Algeria ama Nigeria nchi kubwa mwenzake??
KkkkkMadam president kaamua kwa busara
Maana kuna jamaa hapa wengipiga mpunga mrefu
Ivi Dar ni mji mkuu wa nchi mkuu?Sherehe zinafanyika mji mkuu wa nchi....
Rais wa zanzibar hawezi kukagua gwaride maana si amri jeshi mkuu wa Tanzania.
Nani kakwambia kuwa Sherehe za Muungano lazima ziwe na GwarideSherehe zinafanyika mji mkuu wa nchi....
Rais wa zanzibar hawezi kukagua gwaride maana si amri jeshi mkuu wa Tanzania.
Ni lazima.Nani kakwambia kuwa Sherehe za Muungano lazima ziwe na Gwaride
Dar ilikua makao ya serikali kabla ya kuhamishiwa rasmi Dodoma na JPM.Ivi Dar ni mji mkuu wa nchi mkuu?
Hoja yangu siyo 50/50 hilo wala sina shida nalo. Hujanijibu swali langu huu muungano mumelazimishwa? Na kama mnaona huu muungano si wa Haki mnashindwa nini kama serikali na wananchi kuanzisha petition ya kujiondoa kama ilivyofanyika kwa Brexit? Nachelea kusema wazanzibari wengi wenu unafiki umewajaa mnaposhindwa kutatua changamoto zenu lawama zote kwa serikali ya Tanganyika.Hatamu za muungano zipo Tanganyika, Zanzibar kote kumetapakaa vichogo/majeshi kutoka Tanganyika, kama 50-50 imekuwa nongwa basi vunjeni muungano mkaungane na Algeria nchi kubwa mwenzenu.,
Unapokuja kwenye mgao na faida ya muungano huwezi kumuangalia mshiriki mwenza wako kwa udogo wake sababu nchi 2 huru ziliungana.
Ni kiasi gani kilitakiwa kugharamia shughuli za sherehe za muungano?Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili (Tanganyika na Zanzibar) ili zikafanye shughuli za maendeleo!
Dk. Philip Mpango ametumia takribani dakika 20 kuhutubia wanakongamano na Kisha kuondoka ili aendelee na shughuli zake za Kila siku za kulijenga taifa!
View attachment 1764536
TAREHE 26 Aprili, 1964 Mataifa mawili haya ya Jamuhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu wa Zanzibar yalioungana na kuunda Taifa jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo badae ikabadilishwa na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo kila mwaka ifikapo Aprili 26, tunakumbuka siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo mwaka huu Muungano huu unatimiza miaka 57, huku ukiwa ni Muungano wa mfano na imara katika Bara la Afrika na ulimwenguni pote.
View attachment 1764577
Halafu jaribu kutumia lugha ya kistaarabu kuwaita watu vichogo maana yake nini.? Nadhani hata mimi nikikuita kwa lugha ya kukukashifu hautafurahia .mna tabia ya kujiona wastaarabu kumbe ushuzi mtupu.Hatamu za muungano zipo Tanganyika, Zanzibar kote kumetapakaa vichogo/majeshi kutoka Tanganyika, kama 50-50 imekuwa nongwa basi vunjeni muungano mkaungane na Algeria nchi kubwa mwenzenu.,
Unapokuja kwenye mgao na faida ya muungano huwezi kumuangalia mshiriki mwenza wako kwa udogo wake sababu nchi 2 huru ziliungana.
Kwa ufupi kila zama na mambo yake.... mwache aijenge zanzibar. Ni sebemu ya Tanzania 🇹🇿. Namsapoti asilimia 100%. Tuache unafki, mpenda kwao hutunzwa, waswahili walisema hivo.
Zanzibar ila ni ndogo so haiwezekani Rwanda na Tanzania mjerumani agawanye sawa raslimali sawa mkuu.objectivity inatakiwa na sio subjectivityPunguza hasira boss, Zanzibar ni miongoni mwa nchi zinazounda muungano
Kwahiyo fungu moja la fedha zipelekwe Zanzibar na jingine Tanganyika au Tanzania? Kwasababu Tanganyika haina mamlaka ya mapato?