Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huwa zinatoka wapi mpaka Zanzibar nao wazipate? Kuna pesa yoyote zanzibar wanachangia serikalini huku Bara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio fair [emoji24]Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili (Tanganyika na Zanzibar) ili zikafanye shughuli za maendeleo!
Dk. Philip Mpango ametumia takribani dakika 20 kuhutubia wanakongamano na Kisha kuondoka ili aendelee na shughuli zake za Kila siku za kulijenga taifa!
View attachment 1764536
TAREHE 26 Aprili, 1964 Mataifa mawili haya ya Jamuhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu wa Zanzibar yalioungana na kuunda Taifa jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo badae ikabadilishwa na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo kila mwaka ifikapo Aprili 26, tunakumbuka siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo mwaka huu Muungano huu unatimiza miaka 57, huku ukiwa ni Muungano wa mfano na imara katika Bara la Afrika na ulimwenguni pote.
View attachment 1764577
Unavyozungumza kama vile zanzibar imeendelea saana. Wewe ni kichaa na kwa namna yoyote akili hizi wanakuwa nazo MASHOGA. Huwezi mtu mzima ukaongea ujinga hivi. Huu muungano mnufaika mkubwa ni ZANZIBAR wa BARA wao wanauhitaji kwa ajili ya USALAMA hasa lkn sio kiuchumi kama unavyodhani ww mpuuzi. Afu wanaotaka muungano uvunjwe ni wale wapuuzi ma masikini wanaoisha VISIWA VYA PEMBA ambako robo 3 ni wajinga ambao huamini kwenye MADRASA na USULTANI. Zanzibar hupata upendeleo mkubwa sana. Ajira wanapata sehemu zote ila wabara kuna limit za kuajiriwa. Kuhusu wanajeshi hata BARA kambi nyingi hasa UKANDA WA PWANI WAMEJAA WANZANZIBAR sema ww kwakuwa ni mpumbavu hujui. Acha upumbavu wako, nyie ndio mnakaa kuwatetea wala vichaa wa UAMSHO. MIMI NINGEKUWA RAIS NINGEAMURU WAUAWE BILA HATA KWENDA MAHAKAMANI.Hatamu za muungano zipo Tanganyika, Zanzibar kote kumetapakaa vichogo/majeshi kutoka Tanganyika, kama 50-50 imekuwa nongwa basi vunjeni muungano mkaungane na Algeria nchi kubwa mwenzenu.,
Unapokuja kwenye mgao na faida ya muungano huwezi kumuangalia mshiriki mwenza wako kwa udogo wake sababu nchi 2 huru ziliungana.
Huu upumbavu aliuanzisha Jiwe.
Wakati wanatenga hizo fedha walikuwa wamepungukiwa akili(vichaa)?
Ni vyema wangeifuta sherehe yenyewe isisomeke kwenye kalenda
Pesa ni za sherehe ya Muungano, lazima wanufaika wawe waliounda muungano akiwemo ZanzibarVisiwani wapewe kwa sababu gani? Walihusika vipi kuzipata?
Bara hakuna serikali, pesa zinatoka kwenye serikali ya Muunganohizo fedha zinatoka serikali ya bara au zote? na kama kila serikali inachanga kwa nin kila serikali akabaki na hela yake? na kama zinatoka serikal ya bara kwa nin zanzibar wapewe mgao
Zamu yao ilishaisha mkuu na iliondoka na mwendazake tena watulie kabisa kama wanang'olewa jino!Chato twafa sasa