ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Ndio vipo vinavyoingia kwenye muungano ujui kuwa TRA ni kwa Tanzania nzima, hata kule Zanzibar wana ofisi mlandege paleoohh vizur, hiv makusanyo ya kodi kutoka zanzibar yanaingia kwenye muungano?
SawaIlatakiwa akajenge nazo hospitali mwanakwerekwe kama mlivyouzutumia nyingine kujenga barabara mwenge na hospitali Dodoma
Haijalishi kupatikana kwake, lengo ni kwa ajili ya sherehe za muungano, kama hakuna sherehe wote waliounda muungano wanufaikeZimepatikana vipi?
Sisi mbona hatukusema mlipopeleka mbuga CHATO ?Awamu hii Zanzibar inakumbukwa saaaaana kwny mgao.
Mtu kwaoooooooooo.
TRA inahusika kwa mambo ya Muungano. Kwa yasiyo ya Muungano haihusikiTRA haihusiki kabisa kule Zanzibar.
Zanzibar wanna taasisi yao ya kukusanya mapato
Kuota vichogo ndio maumbile yenu, huwezi kataa., sorry lakinHalafu jaribu kutumia lugha ya kistaarabu kuwaita watu vichogo maana yake nini.? Nadhani hata mimi nikikuita kwa lugha ya kukukashifu hautafurahia .mna tabia ya kujiona wastaarabu kumbe ushuzi mtupu.
Hujui wanahusika vp Kwani huu muungano WA Tanganyika na wp ?Visiwani wapewe kwa sababu gani? Walihusika vipi kuzipata?
Chato ilikua inachangia ktk pato la Taifa ?Labda niulize kuwa pesa za gharama za Muungano huwa zinatoka wapi au kwa utaratibu gani.
Pili, je Zanzibar kuna pesa ambayo wanachangia kwenye Muungano kusema sasa warudishiwe sehemu?.....
Brexit ya nini mkuu fuatilia kifo cha sheikh Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Zanzibar kwanini alipigwa risasi, mchonga meno alitumia ujanja kumshawishi karume aungane na Tanganyika, baada ya kuungana akamwambia Zanzibar ni ndogo ngoja nikupe jeshi liwe linakulindeni mana kwa vile mumepata huru juzi juz mnaweza kuvamiwa sasa kuanzia dakika hiyo Tanganyika haijaiachia tena Zanzibar na karume alipoanza kujaribu kudai haki za Zanzibar kwenye muungano ndio kikatokea kilichotokea sasa wewe ni mchanga sana kwenye historia ya haya mambo ndio mana kizazi cha nyerere nyote munalishwa matango pori kuhusu muungano na nyinyi hamufunui akili zenu hardheaded"Hoja yangu siyo 50/50 hilo wala sina shida nalo. Hujanijibu swali langu huu muungano mumelazimishwa? Na kama mnaona huu muungano si wa Haki mnashindwa nini kama serikali na wananchi kuanzisha petition ya kujiondoa kama ilivyofanyika kwa Brexit? Nachelea kusema wazanzibari wengi wenu unafiki umewajaa mnaposhindwa kutatua changamoto zenu lawama zote kwa serikali ya Tanganyika.
Muulize Nyerere tunahusika vipi na Muungano, manaake sisi tulijua ni kama koti tu likikubana unalivua. Lakini kumbe umegeuka ngozi labda uichune ufeVisiwani wapewe kwa sababu gani? Walihusika vipi kuzipata?
Nitajie maendeleo aliyoyafanya Magufuli kwa ZanzibarAnaedhani mama SSH ataleta maendeleo bara anajidanga. Mama yupo kuipambania Zanzibar
Hiyo bajeti imetoka mfuko upi?wa Tanganyika,au Muungano?maana kama ni pesa za kodi za Tanganyika,harafu ziperekwe Zenj?hii sio Sawa.Dodoma!
Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili (Tanganyika na Zanzibar) ili zikafanye shughuli za maendeleo!
Dk. Philip Mpango ametumia takribani dakika 20 kuhutubia wanakongamano na Kisha kuondoka ili aendelee na shughuli zake za Kila siku za kulijenga taifa!
View attachment 1764536
TAREHE 26 Aprili, 1964 Mataifa mawili haya ya Jamuhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya watu wa Zanzibar yalioungana na kuunda Taifa jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo badae ikabadilishwa na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo kila mwaka ifikapo Aprili 26, tunakumbuka siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo mwaka huu Muungano huu unatimiza miaka 57, huku ukiwa ni Muungano wa mfano na imara katika Bara la Afrika na ulimwenguni pote.
View attachment 1764577
Sasa kama ndivyo ilivofanyika hivi sasa mnashindwa nini kurekebisha si mnajitambuwa kwa sasa? Tuseme wakati huo mlidanganywa kutokana na ujinga.Brexit ya nini mkuu fuatilia kifo cha sheikh Abeid Amani Karume Rais wa Kwanza wa Zanzibar kwanini alipigwa risasi, mchonga meno alitumia ujanja kumshawishi karume aungane na Tanganyika...
Na nyie maumbile yenu kuota ubapa siyo?Kuota vichogo ndio maumbile yenu, huwezi kataa., sorry lakin
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787]kwenye tende na urojo. Punguza hasira sheikh wangu.Labda niulize kuwa pesa za gharama za Muungano huwa zinatoka wapi au kwa utaratibu gani.
Pili, je Zanzibar kuna pesa ambayo wanachangia kwenye Muungano kusema sasa warudishiwe sehemu?..