Iko uharabuni alikouza TanganyikaFamilia Yako
Nani atakubali hilo swala la mchakato?.3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
Utakuwa ww ndo polepole au umetumwa na polepole..MAMA NI MPAKA 2030Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya – wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Ushauri mujarab kwa chura kiziwi.Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.

Ikumbukwe aliingia kwa katiba baada ya Mwendazake kufariki,lakini yeye anataka kun'ga'ngania madaraka kinguvu huku uwezo wa kuongoza hana isitoshe yeye siyo raia wa Tanganyika,Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.

well said mkuu.. Namuombea kwa mola wake ili alisome bandiko hili na aachie wengine...:Ikumbukwe aliingia kwa katiba baada ya Mwendazake kufariki,lakini yeye anataka kun'ga'ngania madaraka kinguvu huku uwezo wa kuongoza hana isitoshe yeye siyo raia wa Tanganyika,
Hata hao wanaomuunga mkono ni sababu ya vipesa anavyowahongo lakini kiuhalisia watu hawampendi,kutoka bodaboda mpaka mama ntilie
Asante mkuu, muhimu ujumbe umikie kama anavyoambiwa na pole pole hapa:Ushauri mujarab kwa chura kiziwi.
Ila marekebisho kidogo kwenye Kichwa cha habari, kiuandishi inaonesha huu ujumbe kautoa Samia.
futa kauli ndugu yangu. nimo hamu tangu mwaka 2008.. Hata siku moja, sijawahi kukubaliana na huyo polepole na matendo yake na kauli zake kama zile za " hivi wewe unaijua v8?" na mengineyo...Utakuwa ww ndo polepole au umetumwa na polepole..MAMA NI MPAKA 2030
Maandishi 2000.Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya – wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Pumbavu ni yule anayetukana bila kutoa suluhisho.. pokea wimbo wa pole pole uusikilize:Maandishi 2000.
Hakuna hoja hata moje yenye maslahi ya umma.
Ni madaraka, madaraka, madaraka tu.
Pumbavu
well said mkuu.. ubarikiwe kwa andiko lako hili.. AMINA.Kwa hakika, kama asipoachia, aking'ang'ania, na kwa kuzingatia damu za watu alizozimwaga, dhuluma mbalimbali alizozifanya dhidi ya watanganyika kwa kupora rasilimali zao na kuwagawia waarabu, lazima ataongoza kwa shida sana, na ili aendelee kuwaongoza watu wasiomtaka, atalazimika kufanya uovu mwingi na mbaya zaidi dhidi yao, hali itakayomfanya azidi kuchukiwa zaidi na zaidi.
Sheikh hivi kweli unaitaja sisiem kwamba kaka wanaitakia mema nchi, kweli mkuu?.CCM wenyewe kwa wingi wao kama kweli wama itakia mema nchi yetu na watoto wake...
Pumbavu ni yule anayetukana bila kutoa suluhisho.. pokea wimbo wa pole pole uusikilize:
View: https://youtu.be/K3a-YI6csHY?si=Pn5w_aoX-ZC4id0F