stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
"POVU RUKSA. MJUMBE HAUAWI". Asente sana mkuu kwa uwasilishaji mzuri wa kile ulichotumwa na walio kutuma. Kuna kazi kubwa na ngumu sana kuwaongoza watu wasiokutaka.
tumwa na mtu, niko humu tangu mwaka 2008 na bado ninaendelea kuwemo.. nayasoma wote maoni ya wote humu, naungalia mustaktabali wa nchi yetu na kutoa maoni yangu ya nini kifanyike ile tusonge"POVU RUKSA. MJUMBE HAUAWI". Asente sana mkuu kwa uwasilishaji mzuri wa kile ulichotumwa na walio kutuma. Kuna kazi kubwa na ngumu sana kuwaongoza watu wasiokutaka.
Mkuu S.M.P2503 usipoteze energy na muda wako hana hoja. Pengine dogo yupo kibaruani cha uchawa. Mpotezeesuluhisho lako ni nini? kutangaza ujinga wako kwa kuwaita wenzako majuha sio suluhisho la kudumu.. heshimu mawazo ya wengine na toa yako pia yaheshimiwe.
Wakati tunaendelea kujielimisha nk .. Mleta mada naomba kuuliza kitu. Wakati wafuatao wanatafuta kugombea nafasi au awamu yao ya pili walishindanishwa na akina nani?Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya – wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Kumbe Mabeyo ni malaika mwenzangu!?Mungu anailinda nchi hii, baada ya kufariki JPM malaika Mabeyo akamuongoza Samia kwa kumshika mkono na kuiweka nchi mahali salama.
JK na kundi lake limefaidika na uwepo wa Mabeyo kama malaika mlinzi mkuu imekuwa ni faida njema kwa Taifa.
Hatufahamu hao wengine iwapo wangeichukua ikulu kwa kumuweka pembeni SSH leo hii tungekuwa katika hali gani.
Tatizo la uongozi ni kwamba hakuna anayeweza kuwaridhisha watanzania wote milioni 65, hata huyo hayati JPM aliumiza wafanya biashara wengi sana kwa kiburi tu cha kipuuzi.
Hakuna afadhali ya wote inakuwepo kwa wachache tu ndio maana hakuna rais mwema tangu awamu ya Julius Nyerere.
Siasa zilizoko mintandaoni kuhusu Tanzania na maisha yaliyopo uraiani ni tafauti sana.. Mtandaoni unaweza kuamini kua Tz sasa ni kama GomaMama anajua kung'ang'ania kiti.
Amani kwako mkuu. Bila shaka atatafakari na kuchukua hatua. Kwani ndilo tamanio la watanzania.tumwa na mtu, niko humu tangu mwaka 2008 na bado ninaendelea kuwemo.. nayasoma wote maoni ya wote humu, naungalia mustaktabali wa nchi yetu na kutoa maoni yangu ya nini kifanyike ile tusonge
Tatizo ni chura kiziwi!Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya – wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Mawazo ya kijinga.suluhisho lako ni nini? kutangaza ujinga wako kwa kuwaita wenzako majuha sio suluhisho la kudumu.. heshimu mawazo ya wengine na toa yako pia yaheshimiwe.
Ukijaribu kulirefusha jina la mtoa mada linaongea mengi.Nikishaona mleta mada wa 2008 nakurudi nyuma na posts jukwaani hazifiki "buku tatu" ninakuwa makini kumsikiliza !
Mungu alimruhusu Mama Samia kuwa Rais kwa kusudi moja tu la kutuletea Katiba mpya. Angetekeleza hilo angeheshimika damage na kuwa Mama wa Taifa. Lakini naona tamaa ya madaraka inamponza na sasa kwakuwa Mungu hajaruhusu kuendeea, atapata wakati mgumu sana huko mbeleni. Kwa hiyo ni bora tu ahairishe uchaguzi na aanze mchakato wa Katiba mpya. Aendelee kuobgoza kwa miaka miwili hadi tupate Katiba mpya na asimamie uchaguzi huru na haki kisha amkabidhi Rais mpya nchi chini ya Katiba mpta naye astaafu kwa heshima.Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya baadhi ya viongozi waliobaki kama urithi kutoka awamu ya tano ya hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Hoja zifuatazo hapa chini zinaashiria umuhimu wako kama wewe Raisi wetu- Samia Suluhu Hassan kufanya maamuzi magumu lakini ya busara kwa wakati huu.
kwanini ni busara kama wewe Rais Samia kuangalia uwezekano wa kuachia ngazi kwa amani, ili kulinda heshima yako, ustawi wa familia yako na mustakabali wa taifa kwa ujumla wako:
1. Viongozi wengi wa awamu ya Magufuli wana ajenda zao hata kama wako kimya – wanapima upepo:
2. Hali hii inaweza kukutesa sana katika miaka mitano ijayo
- Wengi wa viongozi waliolelewa na kupewa nafasi kubwa wakati wa awamu ya Magufuli wanaonekana bado kushikilia misimamo na mikakati yao ya zamani.
- Kuna ishara kwamba wanajaribu kurejesha baadhi ya sera na mitazamo iliyotamalaki wakati huo, jambo ambalo linaweza kuleta msuguano na dira mpya unayoijenga Rais Samia.
- Mwisho wa siku, Rais Samia unaweza kuishia kupambana na kundi lako mwenyewe ndani ya chama, hali itakayochochea migawanyiko mikubwa.
3. Kwa nini usiruhusu mchakato huru wa kumpata mgombea mpya wa urais ndani ya CCM?
- Kama hali hii haitadhibitiwa mapema, kuna uwezekano mkubwa wa machafuko ya ndani ya chama kuibuka hadharani.
- Kelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.
- Badala ya kutumia muda wako katika kujenga uchumi na kuimarisha diplomasia, Rais Samia utaishia kuzima moto wa migawanyiko isiyoisha.
4. Fuata mfano wa Joe Biden nchini Marekani:
- Hii itakuwa njia ya kuonesha ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama na pia kutoa nafasi kwa damu mpya yenye kukubalika kwa pande zote.
- Ni bora kuondoka kwa heshima na maridhiano kuliko kushikilia madaraka hadi hali iwe tete na kuishia kubeba aibu isiyo ya lazima.
5. Pension na mafao yako yako salama hadi kiama
- Rais Biden mara nyingi alitoa ishara kwamba yupo tayari kuweka mbele maslahi ya taifa na familia yake, kuliko kushikilia madaraka kwa nguvu.
- Rais Samia unaweza kufanya vivyo hivyo, kwa kuzingatia afya yako ya kiakili na faraja ya familia yako- Mume, watoto na wajukuu zako ambao wanakutegemea, watafarijika wakikuona ukiwa na amani.
6. Ni heri kuachia ngazi ukiwa bado unaheshimiwa.
- Kama rais mstaafu, utaendelea kulipwa pensheni yako, kuheshimiwa na kulindwa na taasisi za nchi.
- Kwa hiyo huna haja ya kuendelea kuvumilia presha ya kisiasa inayoweza kukuchosha kimawazo na kukupunguzia furaha ya maisha.
7. Mwachie Polepole na kundi lake waendelee.
- Ukichukua hatua sasa, utaondoka madarakani ukiwa bado una hadhi kubwa na unapendwa na sehemu kubwa ya wananchi.
- Hii ni bora kuliko kusubiri hadi hali iwe mbaya, uonekane kulazimika kuondolewa kwa aibu au shinikizo.
Mwisho:
- Ukiwa kweli kuna mkakati unaopikwa na baadhi ya makundi ndani ya chama au serikali yakO, ni bora Uwaachie waendelee na Ujitoe kwa heshima.
- Utabaki kuwa rais Uliyependa maridhiano na ustawi wa taifa kuliko maslahi binafsi.
Rais Samia bado una nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu. Uamue kwa busara, kwa ajili ya amani yako binafsi, familia yako na taifa kwa ujumla, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
Sio kuchelewa na waka hauta chelewa. Ukiamua sasa, Utaacha urithi wa kipekee wa kiongozi wa kwanza mwanamke aliyesimamia mpito wa kisiasa kwa utulivu na hekima.
Povu ruksa. Mjumbe hauwawi- message sent and delivered
Hapo sasa!Hapaa ndio pagumu kashatumia helaa nyingi za watu. Akiacha kugombea atazirudishajee??
Hatofanikiwa.Mama anajua kung'ang'ania kiti.
Too late huu ushauri ulipaswa ushauri kabla kikwete hajampitisha kimababvu huko LumumbaRais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.

Inashangaza sana, Samia anavunja katiba ya CCM kwa kujiteua mwenyewe na Nchimbi wake huku wanaCCM wanaangalia kama kwamba hakuna wanaume wenye uwezo wa kuongoza nchi .... 😲Njia pekee ya nchi kukombolewa ni wananchi kuamka na kutumia nguvu. Namshauri Samia aendelee kuuza kila kitu mpaka machawa watakapoanza kutekwa na kupotea. CCM pigeni hela mpaka watu waanze kuandamana na kupambana na polisi. Samia ukiacha nchi sasa hivi watakaoingia wataendeleza uliyoyafanya. Ili tupige hatua endeleeni kupiga hela. Wananchi wanadiscuss Simba na Yanga wakati Lissu yupo ndani. Bado wana uwezo wa kuvumilia shida kwa kigezo cha uzalendo.
Ni bora apumzike na kuwa Mstahafu, maana huko tunakokwenda unaweza kusikia mabalozi 20 wamejiuzulu, mara viongozi waandamizi 20 wamejiuzulu,atabaki peke yake bora awahi..kundi alimwambii kweliKelele za kisiasa zitakua kubwa, zitaathiri utulivu wako wa akili na kufanya kuongoza taifa kuwa jambo gumu mno.