Rais Samia, fikiria hatua sahihi kwa maslahi ya Taifa na familia yako

Utakuwa ww ndo polepole au umetumwa na polepole..MAMA NI MPAKA 2030
 
Ushauri mujarab kwa chura kiziwi.

Ila marekebisho kidogo kwenye Kichwa cha habari, kiuandishi inaonesha huu ujumbe kautoa Samia.
 
Ikumbukwe aliingia kwa katiba baada ya Mwendazake kufariki,lakini yeye anataka kun'ga'ngania madaraka kinguvu huku uwezo wa kuongoza hana isitoshe yeye siyo raia wa Tanganyika,
Hata hao wanaomuunga mkono ni sababu ya vipesa anavyowahongo lakini kiuhalisia watu hawampendi,kutoka bodaboda mpaka mama ntilie
 
well said mkuu.. Namuombea kwa mola wake ili alisome bandiko hili na aachie wengine...:
View: https://youtu.be/K3a-YI6csHY?si=Pn5w_aoX-ZC4id0F
 
Utakuwa ww ndo polepole au umetumwa na polepole..MAMA NI MPAKA 2030
futa kauli ndugu yangu. nimo hamu tangu mwaka 2008.. Hata siku moja, sijawahi kukubaliana na huyo polepole na matendo yake na kauli zake kama zile za " hivi wewe unaijua v8?" na mengineyo...
Tafadhari, weka ushahidi kwamba mimi ni polepole au nimetumwa, kama huna , futa kauli yako... asante sana...
 
Maandishi 2000.

Hakuna hoja hata moje yenye maslahi ya umma.

Ni madaraka, madaraka, madaraka tu.

Pumbavu
 
Kwa hakika, kama asipoachia, aking'ang'ania, na kwa kuzingatia damu za watu alizozimwaga, dhuluma mbalimbali alizozifanya dhidi ya watanganyika kwa kupora rasilimali zao na kuwagawia waarabu, lazima ataongoza kwa shida sana, na ili aendelee kuwaongoza watu wasiomtaka, atalazimika kufanya uovu mwingi na mbaya zaidi dhidi yao, hali itakayomfanya azidi kuchukiwa zaidi na zaidi.
 
well said mkuu.. ubarikiwe kwa andiko lako hili.. AMINA.
 
Wa TZ sisi watu wa ajabu sana. mlitaka huyu mama afanye nini? agenda ninini hasa. Tunakuaga na chuki isiyo na sababu akitokea tu victim wote tunamshambulia bila hata kua na logic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…