Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
 
Angekuwa muislam safi asingesema kipindi kile cha kampeni kuwa hata mkipigia kura kule kwingine, CCM ndiyo inaenda kuunda Serikali. Ni maneno laini lakini alikuwa anajua hujuma ambayo CCM itafanya kuchakachua kura za wananchi. Hata hiyo 2025 akirudia yaleyale ya 2020 hakuna wa kumzuia. Nyenzo zote anazo.
 
Unajua huwezi kujua thamani ya tone moja la maji kama hujaenda kisimani ukaa huko masaa kadhaa kusubiri kuchoma ndoo moja ya maji.

Ugumu wa kazi na utumishi wa umma watumishi ndio wanaojua

Sasa hapo plus kikokotoo

Aiseh
 
Inasikitisha mno..
pay-raise-vs-inflation-meme.jpg
 
Angekuwa muislam safi asingesema kipindi kile cha kampeni kuwa hata mkigia kura kule kwingine ,CCM ndiyo inaenda kuunda serikali.Ni maneno laini lakini alikuwa anajua hujuma ambayo ccm itafanya kuchakachua kura za wananchi.Hata hiyo 2025 akirudia yaleyale ya 2020 hakuna wa kumzuia.Nyenzo zote anazo.
Umemaliza Kila kitu
 
Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
Wajinga ndio waliwao.
 
Watumishi wa umma kwisha habar Yao ....!!
 
Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
Kwani waislamu hawaibagi?
 
Ni lini Rais aliwahi kuchaguliwa kwa kura halali? Kura zenu bakini nazo ushindi uko pale pale.
Tuliwahi kuwa na ushindi wa kimbunga, Tsunami, safari hii ni wa covid
 
Jamani si mlisema hela zitamwagika mtaani baada ya kifo cha bwana yule?

Sasa vipi tena
 
Back
Top Bottom