Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hali ni mbaya huku. Kilichotegemewa na kilichokutwa ni tofauti. Hapa bank muda huu watu hawaeleweki wanaongea lugha gani. Sura zimekosa matumaini. Hakika katiba mpya ndio suluhisho.Watumishi wa umma wamechanganyikiwa na hawaamini kilichowapata. Katiba mpya ni suluhisdho
Umemaliza Kila kituAngekuwa muislam safi asingesema kipindi kile cha kampeni kuwa hata mkigia kura kule kwingine ,CCM ndiyo inaenda kuunda serikali.Ni maneno laini lakini alikuwa anajua hujuma ambayo ccm itafanya kuchakachua kura za wananchi.Hata hiyo 2025 akirudia yaleyale ya 2020 hakuna wa kumzuia.Nyenzo zote anazo.
Wajinga ndio waliwao.Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
Kwani waislamu hawaibagi?Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!