ajifukuze yeye kwanza. maana ndiye anayewatumaYeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi...
Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
Atamfukuzaje wakati anatelekeza maagizo yake bila hata kufikiri kuwa kuna kesho?Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi...
Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
Tumuombee muuaji, yaani ndiko tulikofika waTz kweli!Hivi kwa nini hatutaki kuleta historia ya mzee Wambura hapa.Mnajua nini kilimfanya akapewa hiyo nafasi.Tetesi ni kwamba kumpeleka mtu pema peponi ni jambo jepesi sana kwake sio muongeji.Sasa hapo tafakarini na kumuombea saana
ni wa ovyo sana maana kaanza kupiga na kanisaYeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi...
Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
Samia ndiye anawatuma. Watanzania mbona mnachekesha sana? Hivi haya yanayotokea kama rais angekuwa hapendi ingewezekana?Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi...
Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
Ni ngumu kumeza, ulinzi wa kura na viroba vya kura Zanzibar ni hapa.Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi...
Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
Muliro sio mkuu wa Polisi. Huyo ni RPC tu. Hata hivyo huyo Mkuu wa Polisi hasikiki kabisa kafunikwa na Muliro. Labda Muliro anaandaliwa!Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi...
Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
Si baba marehemu wa Chato alikuwa anasema tumuombee.Huyo jamaa ni Kanda maalum kweli kweliTumuombee muuaji, yaani ndiko tulikofika waTz kweli!