Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

Kifo ni kifo tu
Rebeca mamii, inatokea wewe ni Mama mwenye nyumba. Watoto wako wanauwa watoto wa jirani yako, uko kimya. Jirani atakufikiriaje? Hutoi pole, hukemei vitendo vya watoto wako kufanya mauaji. Je hawatasema wewe ndiyo uliwatuma wakauwe watoto wa jirani yako?
 
Back
Top Bottom