Rebeca mamii, inatokea wewe ni Mama mwenye nyumba. Watoto wako wanauwa watoto wa jirani yako, uko kimya. Jirani atakufikiriaje? Hutoi pole, hukemei vitendo vya watoto wako kufanya mauaji. Je hawatasema wewe ndiyo uliwatuma wakauwe watoto wa jirani yako?