Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

Umekariri uchumi. Rudi shule
 
Bila shaka una hisa kwenye viwanda vya sukari, ulikuwa wap kuja na mkakati unaotaka ufanyike?; Rais tunaomba lete sukari ya Uganda. Kanda ya ziwa ni shida tujitafakari.
 


Nani mbishi ?? au huelewi kitu gani tunachosema??--- bidhaa yoyote yenye madhara au hatarishi ni lazima iangamizwe, sasa inaangamizwaje??!!, hapo ndipo mjadala ulipo, je viumbe hai wenye madhara nao waangamizwe kama sub standard goods from China??!!, wala haiingii akilini Kuua kwa kuchoma moto viumbe hai wenye madhara kama jinsi vipodozi vyenye madhara vinavyochomwa moto, kumbuka wewe ni kiumbe hai kama hao vifaranga, tofauti kati yako na kuku/kifaranga ni moja tu kwamba wewe unajitambua na yeye hajitambui lakini mambo mengine yote kimsingi mnafanana, na hata hao EU na Marekani huwa hawaangamizi kwa MOTO mifugo yenye madhara.

Sisi au mimi ninapinga kuangamiza viumbe hai kwa moto, itumike njia zingine Soft izilizopo na sio kuangamiza kwa MOTO kwani lengo la kuangamiza sio adhabu na mateso kwa hicho kiumbe bali ni sisi kujiepusha na madhara yatokanayo na hao viumbe.
 
Zitaje hizo njia nyingine Bwa Shekhe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu uingizaji wa bidhaa kiholela,vipi TBS wanasemaje
 
Hahahahaha . ...kwenye hili eneo nipo well informed. Kasome mambo sanitary and phytosanitary matters (SPS). Achana na story za vijiweni kwamba ukaingiza nchini nyama ya ng'ombe wenye antranx afu urudishe ilikotoka. Wapi imetokeaga?
Ndio sababu ya kuitwa kasuku,jiongeze dogo sio kukariri tu.your out of phase so 😥 😔
 
Raisi mwingine atakuja, atalalamika wananchi kuwekewa Tozo kwenye miamala. Yaani Samia anataka kujisafisha kuwa hakuhusika na hiyo dhambi wakati yeye alikuwa makamu wa raisi

Ni upuuzi mtupu kuwa na viongozi wahuni wahuni
 
Kama elimu yako ni ya ubabaishaji na walimu wako wa kitanzania ni vilaza ni bora walimu wa Kenya waje watufaulishie watoto wetu.

Wewe kaa unainba kiswahili hadi unapandisha jaji cheo kwa hukumu ya kiswahili.
kuja sitatizo Wana takiwa warfare utaratibu,Wao ni masikin wakutupwa Bora masikin wa Tanzania anao uwezo wakununua ardhi ata ya kujenga vyumba vitatu vya kulala
 
Kwenye hili mbumbumbu ni wewe.

Vifaranga wale waliochumwa, tatizo halikuwa ugonjwa, bali sababu iliyotolewa hawakuwa na proper documentation.

Kukosa documentation ni number one qualification kupigwa kiberiti na mhusika kwenda prison. Maana kama hakuna documentation ni magendo, na ni havijulikani vilikotoka wapi, kwahiyo si Tz wala Ke wangekubali vinatoka kwao.
 
Hivi kuna ccm ngapi ?
 
Hangaya hajui hii kitu.

Ni mbumbumbu wa mambo ya usalama wa nchi.
 
Ha ha ha
Ukishakuwa rais unakuwa na akili na busara nyingi kuliko mtu yoyote.
 
Kama ni kweli. Rais wetu amesema hivyo ni wazi Kuna tatizo mahala kuhusu washauri wa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…