chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Upo ugonjwa unaitwa epidomia ni aina ya ugonjwa wa akili wa kuamini unajua KILA kitu,kumbe ni empty kabisa kichwaniMagufuli yeye alisema hashauriki. Ukimshauri ndiyo umeharibu kabisa.
Bado mnaamini kuwa Maguguli angeweza kushauriwa na mtu yeyote? Kwa vyovyote marehemu, was not ok upstairs. Baadhi ya aliyokuwa anatenda na kutamka, hakuna mwenye akili timamu angefanya.
Wapi wali thibitishwa wana magonjwa.?"wenzake tayari wanatumikia sentence zao, yeye kakimbilia Nairobi nadhani ni calculation tu". Hapa siyo dhambi, dhambi ni kuchoma kuku wenye magonjwa waliokuwa wanaingia nchi bila kujali sheria transboundary movement of live animal. Kama nchi tupo tayari kuingiza magonjwa nchini kudhuru afya ya walaji almradi kufurahisha majirani? Tufuate sheria zilizopo.
Ndio maana kuna muda watanzania walilishwa mchele wa plastic usio na radha kabisaa, kitumbo. Ndio maana kuna kipindi walikula imported mayai ya mchei fekelo, ndio maana kuna kipindi samaki vibua vya mchina na Sato walianza kutapakaa fake fekyelo.Kukosa documentation ni number one qualification kupigwa kiberiti na mhusika kwenda prison. Maana kama hakuna documentation ni magendo, na ni havijulikani vilikotoka wapi, kwahiyo si Tz wala Ke wangekubali vinatoka kwao.
Hahahaaaa yaani ni de facto inakuja automaticiiiiiiiHa ha ha
Ukishakuwa rais unakuwa na akili na busara nyingi kuliko mtu yoyote.
Ndio. Customs and Boarder ActSheria yetu imeelekeza kuchoma viumbe hai?
Ukumbuke hata miti, majani kwa ujumla mimea ni viumbe hai. Usiwasahau siafu, nyuki na nyoka mnaeachoma sana kuwauaSheria yetu imeelekeza kuchoma viumbe hai?
"Mimi Ni chuma, Mimi sishauriki na ukijaribu kunishauri ndo umeharibu Kabisa" by JPMRaisi mwingine atakuja, atalalamika wananchi kuwekewa Tozo kwenye miamala. Yaani Samia anataka kujisafisha kuwa hakuhusika na hiyo dhambi wakati yeye alikuwa makamu wa raisi
Ni upuuzi mtupu kuwa na viongozi wahuni wahuni
Hata angekuwepo angefanya nn wee vp alikuwa na uwezo wa kufanya chochote?... kipindi hicho hayo yanafanyika alikuwa wapi?
Alikuwa msaidizi... kipindi hicho hayo yanafanyika alikuwa wapi?
Ila leo ndio kaona si vyema!Hata Yeye Alisema kuwa ni kitu kimoja na Mwendazake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuona kama ni dhambi kipindi hiko akemee
Sijaifuatilia ila kama upo sahihi ni ya kurekebisha linapokuja suala la viumbe hai.
Hata wahamiaji haramu ni viumbe hai mbona hatuwachomi tunawarudisha kwao kwa utaratibu maalum?Ukumbuke hata miti, majani kwa ujumla mimea ni viumbe hai. Usiwasahau siafu, nyuki na nyoka mnaeachoma sana kuwaua
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kama ndio hivyo basi asamehe wafungwa wote, afute kesi zote, kusiwepo mahakama kabisa.Afute kesi ya Mbowe. Machozi ya hizi familia hayata muacha salama
Hii mchi haielewi vRz.. huo ndo ukwel wenyeweRais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesifu ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki na kusema tulikuwa tunachomeana kuku mipakani, dhambi tupu viumbe wa Mungu tunamwaga petrol kuwachoma haikuwa na maana.
Rais Samia amesema hayo katika kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.
Chanzo: Swahili times
Hivi Bagamoyo Sugar imeishia wapi?Tanzania kununua sukari Uganda ni ujinga kupitiliza .
Wakati mwingine nchi yetu kama nchi inakosa thinktank kila kitu tunamwachia Rais atuamulie hata kama kina madhara kwa taifa.
Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kununua tu hata pale tunapoweza kama nchi.Uganda inaingia mara nne au zaidi iweje Rais ashabikie tununue sukari badala ya kuweka mikakati ya kuzalisha sukari ya kutosha hapa nchini.